Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 196
Aisee wadau mnaoshirikiana kuleta uhondo huu kwetu .mbarikiwe sana.nilipokuwa o'level nilizinguana na msichana mmoja.kisa alinipa kitabu hiki cha salamu toka kuzimu.ile nimeanza kusoma na kupata uhondo akaja kukichukua eti mshikaji wake anakitaka.nilimchukia mpaka leo.sasa nimekuja huku jf naipata simulizi bila masimango.asanteni wadau
Mkuu ntamaholo Na Wengine Mnaoisababisha Hii Simulizi Ije Hewani Mbona Kimya Sana? Endelea Kutupa Mautamu Basi Jamani!
ngoja tuendeleee kumvizia Nyakasagani wa mpiganaji Blog
tatizo vitabu vya huyu KIANGO kuoatikana kwakwe ni nadra sana aisee.hizi story nusu nusu ni shidaa zinatuweka roho juu.
mm now nipo na RIWAYA ya najisikia kuua tena ya JORAM KIANGO.
taratibuuu hapa