the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,112
Haaahaaaa aisee unataka kuteleza tu utunikiwe kupitia LegendKuna hadithi nyingine nimempa, ataileta karibuni...
Hahahahaa, inaitwaje vile?Kuna hadithi nyingine nimempa, ataileta karibuni...

Sina neno, nna manenoHahahahaha.. Mimi na the_legend ni ndugu, hana neno...

Hahahaha, kazi njema mkuuShukrani mkuu the_legend, kumbe ukipost hadithi mademu wanajileta wenyewe tu ngoja na mimi nijaribu Tieli ft Shunie
Asante kwa kushukuru Kisukari, tuko pamoja. Bila shaka tutakutana tena katika riwaya nyingine very soon, ili utamu usikateAsante sana sana sana the legend.ulitupa utamu mwanzo mwisho.hukutubania bania



Amen. Tuko pamoja mkuu
gia no 1 hiyoHebu nitake radhi.. Mimi ni dume la mbegu, tena shababi na zaidi sana rijali... Nakojoa nikiwa nimesimama na kulishikilia kombeo....
Naam! Mimi ndie!! Alex Kileo...
MBAVU ZANGU..Kushare siwezi mama we baki nae moja kwa moyo niko na moyo wa nyama sio chuma
Engiza hadithi..Hahahahahaa, vivuruge washafanya yao
the Legend☆