Achaaa sifaaa ww SEMA page gani hukoo fb inapatikanaaa hii story nionee Kamaa kweliiiiwatu manapenda sana kupata sifa ambazo haziwahusu. Hiyo hadithi ya kijana wa wtu tumeisoma huko fb leo wewe huku unataka sifa kwa copy and paste
Kuna jamaa anaitwa George wa hadithi ndio mwenye hiyo page. So mshikaji amefanya kucopy na kupaste tu huku. Ila mwenyewe aliruhusu kushareAchaaa sifaaa ww SEMA page gani hukoo fb inapatikanaaa hii story nionee Kamaa kweliiii
Sasa Mbuna shda I wap ndg yangu?Kuna jamaa anaitwa George wa hadithi ndio mwenye hiyo page. So mshikaji amefanya kucopy na kupaste tu huku. Ila mwenyewe aliruhusu kushare
Ahsante kwa lugha maridhawa ya kiarabu uliyoitumia katika sentensi yako ndugu yangu.Inaelekea wewe ni khuntha kwa jinsi ulivyotoa povu kwa hiyo kauli yako tu.Mijitu mingine mijinun kwelkwel sa we yakuhusu nin ata kama ka copy na kupaste.......
Hivi unalijua jina la kweli la Mwandishi? Je unajua kama mwandishi ana maelewano na makubaliano na mtunzi? Au unajuaje kama huyu ndio GEORGE mwenyewe? Acha upuuzi wako wa fb huku ni anga nyingine kama unatafuta mume sema.watu manapenda sana kupata sifa ambazo haziwahusu. Hiyo hadithi ya kijana wa wtu tumeisoma huko fb leo wewe huku unataka sifa kwa copy and paste
Tatizo umekurupuka kuja humu huku ukivuja povu... kama amecopy unaonaje wewe ukaiendeleza?Ahsante kwa lugha maridhawa ya kiarabu uliyoitumia katika sentensi yako ndugu yangu.Inaelekea wewe ni khuntha kwa jinsi ulivyotoa povu kwa hiyo kauli yako tu.