Riwaya: Pumbazo

Riwaya: Pumbazo

Asante mzaramo,nafuatilia Mara kwa Mara riwaya unazotuletea,ubarikiwe
 
mbona mimi sizioni hizo stori? Naona kila mtu ahsante, ahsante
 
TUPO PAMOJA WAKUU BAADA YA RIWAYA ZA

1.Mpango wa kando
2.Ripoti Kamili
3.Hila
4.Pumbazo

baada ya hii tunawaletea Riwaya nyingine kutoka kwa Gwiji George Iron Mosenya inayoitwa ASIA DIGITAL ambayo itafatiwa na Nyingine iitwayo CHOKORAA.

Tuendelee kuwa pamoja wakuu
 
hakika shukrani za kipekee zikufikie mzaramo popote ulipo.
Riwaya hii ni kama inasadiki mateso makali wanayopitia dada zetu huko mashariki ya kati siku hizi. Viongozi wakubwa kama kina Mtemvu wameanzisha taasisi eti hupeleka wasichana kwenda kufanya kazi za ndani loool wakifika huko ni mateso na udhalili mkubwa wanakutana nao. Hawana cha Inspecta Zay B, Sajenti Pilipili wala IGP Sungura wa kuwatetea wishowe kabisa hurudi nchini na madera matatu mapya na shuka mbili na kuja kuanza upya maana ujira wao wameshadhulumiwa.
 
TUPO PAMOJA WAKUU BAADA YA RIWAYA ZA

1.Mpango wa kando
2.Ripoti Kamili
3.Hila
4.Pumbazo

baada ya hii tunawaletea Riwaya nyingine kutoka kwa Gwiji George Iron Mosenya inayoitwa ASIA DIGITAL ambayo itafatiwa na Nyingine iitwayo CHOKORAA.

Tuendelee kuwa pamoja wakuu
Asia Digital tayari imesimuliwa humu mwanzo mpaka mwisho, let's nyingine
 
Back
Top Bottom