mpasta
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 919
- 2,007
SEHEMU-32
Walikuwa wakiendelea kucheza muziki ule kwa mtindo wa kugandana "zero distance" na kwa mahaba makubwa. Laiti ungewaona wanavyocheza kiustadi mkubwa usingekubali kuwa huyu "Maso Maso" ni mfiadini. Kumbe wachamungu wakiwa hadharani tu mbele ya macho ya watu lakini wakiwa sirini wanayajua wao na Mungu wao wanayoyafanya. Yasmine sasa alikuwa amebakiwa na chupi tupu iliyositiri kipochi manyoya chake na chura wake. Huku macho yakiwa yamemtoka "Maso Maso" hayabanduki kuangalia mapaja meupe ya binti wa Kipemba kwa uchu wa fisi.
Alimuweka kwenye wakati mgumu sana Yasmine, huku anabinywa binywa maembe dodo yake, kifuani yaliyochongoka na "Maso Maso". Matiti ambayo yalikuwa yanatomaswa mithili ya mteja anayetaka kuchagua embe bora la kula sio rojo la juisi. Yasmine akaanza kuhema juu juu kama mtu aliyepandisha Jini subiani na kuanza kunena kwa lugha isiyoeleweka. Kipemba si Kipemba, Kichina si Kichina tabu mtindo mmoja. Alikuwa tayari ameshaingia kwenye kumi na nane ya lango la timu pinzani, akiguswa tu kidogo na beki refarii anafunika penati bila ajizi.
"Maso Maso" alishaona dalili zote za kuvikwa taji la ushujaa dakika 90 zikikaribia kuanza za mechi hiyo kali ya kuvunja springi ya meli. Ila hakutaka kuharakisha kuanza kwa pambano, akazidisha mbwembwe na vikorombwezo ili kuleta amsha amsha na mashamu mashamu kwa wachezaji wa pande zote mbili. Akaanzisha uchokozi wa mieleka ya ulimi kwa ulimi akaanza kudendeka nae.
Yasmine akajikuta hana nguvu tena, hawezi kujizuia akamuachia "Maso Maso" awe kama rubani wa ndege na yeye kubaki kuwa maamuma tu, asiyejua ndege rubani anaipeleka wapi na kituo cha Nyegezi kipo wapi na atashushwa kwa mitindo ipi, na wala hakutaka kujua tena, alishakuwa kichaa wa mapenzi.
Tayari alianza kuishiwa nguvu huku vidole vyake Kachero Yasmine vimeanza kutambaa juu ya kufuli alilovaa gaidi "Maso Maso" kuanza kupimisha urefu na saizi ya bakora ya gaidi. "Maso Maso" alivyoona hivyo, akajua tayari kituo cha Nyegezi wanakaribia kufika abiria anahitaji kushushwa. Akambeba mkewe kwa mikono miwili mpaka kitandani akamtupia juu ya uwanja huo wa godoro la "Super Banco Original", uwanja wa tokea enzi za Mababu na Mabibi zetu, ulioleta mabilioni ya watu waliomo ulimwengu hivi sasa. Yasmine alivyotua tu akajilaza kifudifudi huku ameibana miguu wala hatikisiki.
Yasmine alikuwa kama yupo ndotoni, nusu mfu nusu hai, alikuwa amepewa mambo adimu aliyokuwa anayakosa kipindi chote cha miaka 28 ya uhai wake. "Maso Maso" alivyomuona Yasmine kama anataka kupoteza fahamu, akaenda kwenye friza ndogo ya chumbani akachukua vipande virefu vya barafu kama vinne. akaviweka kwenye sahani ndogo akapanda navyo vile vipande kitandani.
Yasmine alikuwa anashuhudia hayo yote lakini anashindwa kuzungumza, alikuwa anaona ni mambo mapya kabisa kupata kutokea machoni mwake, daktari anataka kufanya operesheni ya kumpasua mgonjwa kwa kutumia vipande vya barafu, hajawahi kusikia hii hata kwa mashoga zake wanavyosimuliana huko saluni.
Akajisemea nafsini mwake "ama kweli ufundi wa mapenzi kuzidiana duniani". Alivyofika navyo vile vipande akakibana kipande kimoja kwa ncha ya meno yake ya mbele kisha akaanza kumsugua nacho kuanzia chini ya maoteo ya nywele kisogoni anashuka nacho hadi kwenye mfereji wa uti wa mgongo na kushuka nacho chini karibia na pingili ya mwisho ya uti wa mgongo kisha anapanda nacho tena juu.
Huu mchezo wa barafu wa panda shuka ulisababisha Kachero Yasmine arudiwe na fahamu zake akaanza kujinyonga nyonga na kupwiripwita kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa. "Maso Maso" macho yake yalimwiva na kuwa mekundu kama kavuta bangi, alikuwa mlaini kwa Yasmine huwezi kudhania ni yule anayewanyima usingizi zaidi ya Watanzania milioni 55 hawalali kwa raha, hawali wakanenepa kwa sababu ya ufedhuli wake wa matendo ya kigaidi.
Akalichukua dekio la mdomoni lile linaloonja ladha ya utamu wa chakula na kuanza sasa kupangusa maji ya kwenye kisima kilicholoweshwa tepetepe juu ya chupi ya Kachero Jasmine. Dekio lilipotua tu kwenye antena Kachero Yasmine alishindwa na uvumilivu, alipiga makelele huku akitaja jina "Maso Maso" halisi, "Masoud Masoud My love...Weeeeeh utaniua mtoto wa mwenzio". Jambo ambalo "Maso Maso" lilimshtua na kumfanya asite kuendelea na zoezi la kupiga deki.
"Masikio yangu yanaleta taarifa sahihi au ninaota mbona ananitaja kwa jina langu halisi la Masoud Masoud, amenijulia wapi kwa jina hili wakati jina feki la kufungia ndoa ni Abu Nufeil!" ni swali alilokuwa anajiuliza ndani ya sekunde kadhaa "Maso Maso" bila kupata jibu. Wakati huo huo yupo kwenye fikra hizo simu yake ya upepo ya tahadhari anayoitumia "Maso Maso" kwa dharura ikaanza kupigwa.
Ikabidi anyanyuke kitandani na kwenda kuichukua simu kwa ajili ya kuipokea. "Hallow Hallow...ovaaah....!", ikabidi atoke haraka nje ya chumba ili Yasmine asisikize maongezi yake. Alivyotoka chumbani ikawa nafuu kwa Kachero Yasmine amenusurika kuvunjwa kizinda chake cha ubikira na gaidi "Maso Maso". Kama "Maso Maso" angeendeleza utundu wake angefanikiwa kumla Kachero Yasmine katika usiku huo wa fungate.
Na yeye fahamu zikaanza kumrudia sasa kengele ya tahadhari ikalia kichwani mwake. "Kuna mazungumzo gani ya siri yaliyomfanya hata aache kuendelea na moja ya starehe tamu za dunia!" alijiuliza Kachero Yasmine. "Au wamenigundua kuwa mie ni shushushu hivyo wanampa taarifa?" Akakurupuka haraka kitandani na kukaa, anapanga na kupangua mipango ya kujiokoa kwenye mdomo wa mamba aliojiingiza kwa hiari yake mwenyewe.
Himahima akaenda mpaka pale ilipo sasa sahani ya nyama na sosi ya nyanya. Akachukua ile sosi ya nyanya akafunua chupi yake nyeupe akaminyia sosi ya kutosha tu, kisha akaifunga chupa na kurudi kitandani mbio mbio. Ile anatua tu kitandani hamadi! na "Maso Maso" huyo anarudi chumbani.
Sasa Kachero Yasmine alikuwa na akili timamu anamthaminisha "Maso Maso" bukta yake ilikuwa imetuna kama vile ameficha mguu wa mtoto mdogo mwenye umri wa nusu mwaka. "Aisee...leo mbona chamoto ningekionja, "Maso Maso" ana uume mkubwa utasema amechanjia dodoki..!.Leo huyu angenitoboa kizazi huenda ningekimbizwa Hospitali ya Mkoa ya Bombo, hawa wengine hawatakiwi kufanyiwa majaribu, ukiwabipu wanakupigia" alijiwazia Kachero Yasmine huku akijiona ana bahati sana kuepuka kucheza mechi ya kitandani na "Maso Maso". Alivyoingia ndani ya chumba akaenda moja kwa moja kwenye zile nyama zake za madawa ya kuongeza nguvu za kiume na kuanza kuzishambulia tena.
Alivyotafuna vipande kadhaa vya nyama ile akaanza kuja kitandani alipojilaza Yasmine kama mbogo aliyejeruhiwa risasi na jangili. Yasmine hakutaka tena amruhusu afanye utalii wa mwili wake tena alishaijua shughuli ya "Maso Maso" ni gaidi wa kila sekta.
Alivyotaka kumgusa tu, Yasmine akaaanza kupiga kelele. "Aaaah Aaah nakuf...aaaah tumboo langu". "Maso Maso" akashtuka na kuanza kumsaili tatizo lililompata. "Umepatwa na nini mke wangu mpendwa, nimuite daktari"?.
"Hapana ni ada tu za wakubwa za mwezi, wekundu wa msimbazi wamekuja wamelowesha kiwanja, hamna mechi tena wiki nzima mpaka nijitwaharishe, sasa huwa tumbo linaniuma hiyo hali ikinikuta" alifafanua kwa lugha ya mafumbo ambayo "Maso Maso" alielewa nini anachomaanisna mke wake baada ya kuiona chupi imelowa damu.
Kumbe usilolijua ni kama usiku wa giza, kachezewa picha la kihindi bila mwenyewe kufahamu. Biashara ikawa imeishia hapo kwa siku hiyo. "Maso Maso" akakumbuka kuitwa kwa jina la "Maso Maso" wakati mizuka ya mahanjamu imempanda Kachero Yasmine. Ikabidi amuweke kitimoto kwanini anamuita jina hilo.
Kachero Yasmine akakataa katakata kulijua jina hilo la Masoud Masoud. "Mie mume wangu nakujua kwa jina la Abu-Nufeil na ndio limeandikwa kwenye cheti cha ndoa yetu hilo ulilotaja ndio kwanza nalisikia kwako" alijitetea Kachero Yasmine huku akijilaumu sana kwa uzembe ambao unaweza kumgharimu maisha yake.
Kwa jinsi alivyomaliza viapo vyote vilivyoambatana na vilio feki, "Maso Maso" alimuelewa mkewe akajipa udhuru mwenyewe kuwa huenda alisikia vibaya. Akamuamini akaleta dhana ingine kuwa huenda huyo Masoud aliyekuwa anamtaja wakati anamsugua antena, ni mpenzi wake wa zamani ambaye alikuwa anamfikisha vilivyo.
"Maso Maso" aliaga siku hiyo hiyo kutokana na simu ya upepo aliyopigiwa kuna viongozi wa "Al-shabaab" toka Somalia walihitaji kuonana nae mkutano wa dharura. Ila kwa mkewe aliaga kuna mzigo wa biashara anatakiwa aende kuuangalia Mombasa hivyo hana budi ang'oe nanga usiku huo.
Yasmine akazuga kama na yeye anatamani sana afuatane nae, lakini kiuhalisia alitamani abakie hapo nyumbani ayasome mazingira vizuri. Hivyo usiku huo huo majira ya saa saba usiku "Maso Square The Duduman" akatimka zake, na kumuacha mkewe Kachero Yasmine akiwa amebaki makazi yake mapya na kundi la watumishi na masuria wa kumhudumia.