Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,007
- 1,599
Yaani kaniboa aise mpaka nachukia masuAisee ,Yasmine ningekua mkuu wako ningekuchapa vibao, hatujakutuma kazi hiyo alah !
Yaani kaniboa aise mpaka nachukia masuAisee ,Yasmine ningekua mkuu wako ningekuchapa vibao, hatujakutuma kazi hiyo alah !
Yaani kaniboa aise mpaka nachukia masu
Aisee ,Yasmine ningekua mkuu wako ningekuchapa vibao, hatujakutuma kazi hiyo alah !
Ila polisi si wa kuoa maaňa muda wote anaweza kuingia kwenye misheni za mateso kwa sie wenye wivu khaa.Ni story tu poti na ili inoge na itufundishe ni lzm kuwepo na matukio kama hayo poti
Poti sio police tu wanawake %kubwa wenye kazi wapo hivyo mfano manesi, wanajeshi nk hivyo Vumilia tu poti maisha yaendeleeIla polisi si wa kuoa maaňa muda wote anaweza kuingia kwenye misheni za mateso kwa sie wenye wivu khaa.
Mke wa mtu afu boss anampangia kazi akawe chambo cha kumkamatia jambazi flañi hivi je ataanzaje kukataa kwã mfano?
Hao uliowataja wote jamii moja ukiondoa manesi japo wapo manesi wasio waaminifu watakupelekesha na kukuondoa mapema duniani.Poti sio police tu wanawake %kubwa wenye kazi wapo hivyo mfano manesi, wanajeshi nk hivyo Vumilia tu poti maisha yaendelee
Hamna napenda tu maso square anavyojiongeza
Mbwa kajipeleka kwa Chatu.Yasmini ohoo shauri yako
Pini kali anataka kuikomboaMbwa kajipeleka kwa Chatu.
Afu maso square bibi tu wa mashababi !!!
utatumiaje vumbi la congo mwanaume Rijari usiye na kasoro






Hao uliowataja wote jamii moja ukiondoa manesi japo wapo manesi wasio waaminifu watakupelekesha na kukuondoa mapema duniani.
Mbwa kajipeleka kwa Chatu.
Afu maso square bibi tu wa mashababi !!!
utatumiaje vumbi la congo mwanaume Rijari usiye na kasoro
Kwa nini asiliwe poti tena ataliwa sana tu