Ndiyo chimbo pekee lililobaki kwa sasa baada ya wengine kuingia mitini na kutelekeza nyuzi zao.
Nakuja sasa hivi leo Jmosi siendi kokote mpaka tuimalize
Naona unapenda hizo blue print kaka, nenda kamcheck Masuke kule kwa mzungu anamlamba kimaskhara Molilo.Hapo kimasomaso hajalamba mzigo cjui itakuaje poti
Hamna poti tunanogesha tu wanyumbaniNaona unapenda hizo blue print kaka, nenda kamcheck Masuke kule kwa mzungu anamlamba kimaskhara Molilo.
Labda anafuata masharti ya mganga kudonoa punje mojamoja.Kaka huyu poti m pasta nafikiri bado yupo chaka
AhsanteShukran kamanda umeitendea haki jumapili ýa leo pamoja na hili jukwaa kwa ujumla.