Riwaya: Mkono Wa Chuma

Heshima chief na pia bila samahani nasubiri
 
Nimefurahi sana kuona kuwa Nina mashabiki wengi.

Jiandaeni kwa story Kali zaidi
Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia panda
 
Duu yajayo yanafurahishaa....mko tayari wapenda hadithi?????
 
Kuna group wanadai hii story ulikuwa unacopy nje ya nchi na kuitafsiri, mtunzi kasimama kuendelea, nawe huna uwezo wa kuendelea hata nusu episode. nimebaki njia panda
Sio kwel, mimi ndio mmiliki halali wa hii riwaya, ila nina matatizo yangu binafsi ndio yamefanya stori imesimama.

uwa sina kipaji cha kukopi, na uwa naandika papo kwa papo na kutuma, uwa sina uhariri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…