TunajuaMuwe na subra jamani
Legend hana tabia ya kubania. Ukiona kimya ujue kuna sababu
Umenena vyema sana kisukari.Muwe na subra jamani
Legend hana tabia ya kubania. Ukiona kimya ujue kuna sababu
HahahahahahaaaShunie vipi mbona hadithi hakuna, usije kuwa umembana sana the Legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Abanwe wapHahahahahahaaa
the Legend☆
Nilijua tu 'macho yako' lazima utoe neno hapa

Mambo mengi ndguTumosa uliadimika hatari
the Legend☆
Kwema mkuu, tunasongesha gurudumu kama kawaidaMambo mengi ndgu
VP kwema
We vipiiiiThe Legend shikamoo