

Naona waziri Tambala kamnywea pombe Kali rais na kwenda kumpiga X kwenye picha Lazima ufe hapo anapiga X na kujiongelea maneno hayo kakunja sura ile mbayaJmaniMpaka kesho mpendwa
the Legend☆
Umeshatupia????Kaendelee na kayoza tu, hamna namna
the Legend☆
Mkuu natafuta uzi ulioandikwa Memory card siuoni, hujaaanzisha hiyo maneno?Kaendelee na kayoza tu, hamna namna
the Legend☆
Hiyo mambo bado bado mkuu, kuna episodes 10 za mwisho bado nazifuatiliaMkuu natafuta uzi ulioandikwa Memory card siuoni, hujaaanzisha hiyo maneno?
Hiyo mambo bado bado mkuu, kuna episodes 10 za mwisho bado nazifuatilia
the Legend☆
Hahahahaha hahahahaha tena kakunja uso kama underteka,, tena anakunywa viloba vikali sanaNaona waziri Tambala kamnywea pombe Kali rais na kwenda kumpiga X kwenye picha Lazima ufe hapo anapiga X na kujiongelea maneno hayo kakunja sura ile mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kesho ndo leoMpaka kesho mpendwa
the Legend☆
Naona na Leo itakuwa bila bila kama IjumaaLeo si ndio j5
Hahahahahaha, labda anataka atufanyie suplz ashushe zote kwa mpigo zilizo bakiNaona na Leo itakuwa bila bila kama Ijumaa