seeker of knowledge
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 225
- 168
Ibra amefariki?Hizi ndo zilikuaga story zenye mpangilio siyo hizo za cku hizi yaani hata hapaeleweki kabisa kila siku MTU anakuja na kistory siku 2 kapotea,, full arosto we miss u brother Ibra pumzika kwa Amani huko uliko
siku nyingi mkuu toka mwaka JanaIbra amefariki?
Sikusikia jamaniii.siku nyingi mkuu toka mwaka Jana
Hizi ndo zilikuaga story zenye mpangilio siyo hizo za cku hizi yaani hata hapaeleweki kabisa kila siku MTU anakuja na kistory siku 2 kapotea,, full arosto we miss u brother Ibra pumzika kwa Amani huko uliko
Yap, ametutoka mwaka janaDuh jamaa alifariki,,,,,?????????
Mh!!!!Hizi ndo zilikuaga story zenye mpangilio siyo hizo za cku hizi yaani hata hapaeleweki kabisa kila siku MTU anakuja na kistory siku 2 kapotea,, full arosto we miss u brother Ibra pumzika kwa Amani huko uliko
Una mgongo mzuri sana. Nilivyoichunguza tu hyo Avatar Mate yamenidondoka aseeNi mm ibra
Una mgongo mzuri sana. Nilivyoichunguza tu hyo Avatar Mate yamenidondoka asee
Hahaha macho ya kimuhammed nadhani unayajua. Mkuu Ibra hakukosea kusema majasusi tunajuana. Nimeuchunguza kijasusiAiseee umeuchunguzaje sasa sawa mkuu asante