KOMBORA KIOTANI-22
BONIFACE BIRAGE
Nguo ya ndani ya Shani ilikuwa imechanwa!Mzee alimshika kwa nguvu kwenye kiuno akaipanua miguu ya mtoto Yule kisha akaanza kufungua zipu yake kwa mkono mmoja!Mzee Kavu!Hilo jina lilisumbua kichwa cha Shunie sana alitamani kuikamata bastola ile lakini akashindwa walio pale ni watu wenye nguvu kubwa sana!
Mzee aliyafikia majapa ya mtoto nakujizamisha ndani!Ukasikika ukulele mkubwa wa kudhalilishwa kwa mtoto huyo!Ulikuwa ukulele!
“Mamaaa!...”alipiga ukulele mkubwa sana hadi mahali alipokuwepo Kilua akahisi moyo wake kumshtuka na tumbo kumkata!Shuni alimlaani Yule mzee kwa laana zote tayari alianza kumnajisi mtoto akijilazimisha kumbaka!Shuni aliona ni lazima ajitoe sadaka!Alichofanya nikurusha kisugudi(kipepsi)nakumpiga jamaa aliyekuwa nyuma yake kwenye tumbo kisha akageuka haraka akashika mkono wake nakuuvunja ule ulioshika bastola.Aliupigiza kwenye kabati nakuushindilia hadi kigasha cha mkono kilipolia kaa bastola aliyoishika mtu Yule ikaanguka chini!Alikuwa amemvunja mkono Shuni akimuwahi mlinzi wa pili kwa teke la sehemu za siri kisha kwa kasi ya haraka akamrukia Mzee Kavu nakutua mgongoni akapeleka vidole kwenye macho nakuanza kushindilia!Mzee Kavu aliutoa mkono mmoja!Mkono uliobaki Shuni akashika kwa nguvu nakutoboa jicho moja nakulipasua!
“AAASH!...”kelele kavu zilisikika kutoka kwa Mzee Kavu hadi akamuachia Shani aliyekuwa anavuja damu sehemu za siri.Kwa takribani sekunde thelathini alishuhudia unyama mbaya sana katika dunia wakunajisiwa!Mtoto alikuwa na analia kwa uchungu wote alioujua!Ilimkera moyoni nakuhisi mwili wake umefanyiwa kitu kibaya sana!
“Shiit!”alitapatapa mzee Kavu wakati tayari jicho la upande mmoja likiwa limetobolewa na Shuni kwa kucha zake ndefu!Alikuwa amemjeruhu vibaaya.Na kama angepewa nafasi basi Shuni angeukatisha uhai wa mzee Yule.Ukelele aliopika mzee Yule ulifanya walinzi waje pale kwa haraka wakamshika Shuni nakumvutia pembeni!Shuni alikuwa kama samba jike aliyegusiwa mwanaye.Hasira yake ya kumvamia ilitoka moyoni ni hasira ya mwanamke!
“Aaah!...You bitch you…ooh!Macho yangu!...Shetani wewe…”alipiga kelele mzee Kavu huku akitapatapa!Shuni alishikiliwa lakini akachomoka nakumuwahi Shani ambaye aliogopa hata mtu kumgusa!Alilia sana.
“Shetani wewe huna aibu kwa mtoto!Nitakuua kwa mikono yangu!Nitakuua!”Shuni alipiga kelele akikaripia.
Walinzi waliokuja walichomoa bastola zao tayari kuumaliza uhai wa Shuni.
“We mwanamke ngoja tukuue!”alisema moja ya walinzi akiwa tayari kumuua Shuni!
“No!Don’t kill her put her kwenye room yao.Their pain has just began.”alisema Mzee Kavu akiwa ameshika mkono mmoja kwenye jicho lililotobolewa huku damu zikiendelea kutoka.
Maumivu ya Shuni na Shani yalikuwa yameanza.Wakachukuliwa kama magunia nakupelekwa kwenye chumba chao.Huko walipofika tu Shani alinyamaza kimya na uso kuutazamisha chini!Alikuwa amevurugwa kisaikolojia kwa tukio lile.Aliipoteza utoto wake na bashasha yake.Shauku yake ilikufa kibudi nakusomeka namba ziro!Mtoto aliona kila kitu kikifutika na tukio lile kuwa kichwani mwake hakutaka kuguswa na mtu yeyote hata Shuni!Yeyote aliyemgusa alijikuta akishtuka sana!Bwana Kavu alikuwa alikuwa ameweka ukavu kwenye maisha yake!
***
Pablo alizidi kukata barabara akielekea makao ya usalama wa taifa.Alipokuwa anaelekea alihisi kuna gari inamfuatilia baada ya kuitizama kwenye kioo cha pembeni!Alikanyaga mafuta nakuongeza mwendo wa haraka kuikwepa gari ile.Sio kitu cha ajabu kufuatiliwa ni jambo alilotegemea kwamba litatokea tu.Kulingana na mazingira aliyomchukulia bwana Pasha na alivyomkuta alijua tu lazima kungekuwa na ufuatiliaji.
Alijiandaa kisaikolojia kwamba endapo yatazuka mapigano atakuwa tayari kupambana.Bastola ilikuwa tayari.Pasha aliona picha nzima akawa anakenua tu.
“Kijana nashukuru kwa uanvyojitahidi lakini ninavyojua kunifuata mimi umeanzisha vita!”
“Mzee mimi nafuata amri tu niliichagua kazi inabidi tu niifanye.”alisema kwa kujiamini huku akionesha adabu kwa mzee Yule.Kwa jinsi alivyomtundu wa kucheza na barabara alifanikiwa kuwakwepa na sasa alikuwa mbioni kufika makao ya ofisi yao.
Kazi kubwa ya kumchukua bwana Pasha ilikuwa imekamilika.Lakini akiwa njiani alishangaa akipigiwa simu na bosi akiuliza yupo wapi akasema ndo anaingia getini.Alifanikiwa kufika salama.Kisha alishuka nakwenda moja kwa moja hadi ofisi ya bosi wake akijitahidi kukwepa kukutana na watu watakaomfahamu bwana Pasha.Pasha aliifahamu ofisi nje ndani kiasi alianza kumwelekeza wapi pakupita bila kushukiwa.Hatimaye wakafika ofisi ya mkuu wa idara ile bwana Toti.
“Karibu bwana.”alisema Toti akimlaki Pasha pamoja na Masha.Pasha aliketi chini huku akiangalia vijana wale.Akatikisa kichwa.Halafu akawaonesha kifaa alichofungiwa mguuni.Toti alijua namna ya kukizima.Alichofanya aliingia kwenye system yake alitafuta jina la Pasha nakuona kifaa kinachomlinda kinavyorekodi data alichofanya alikizima kwenye mtandao wake.Hapo hakuna atakayesikia chochote wanachoongea.
“Sasa naweza kukaribia kwa amani.”alisema Bwana Pasha kisha akaongeza,”Hata hivyo kwa kuzima kifaa hicho mmefungulia vita kuu maana wataona signal yangu haipo active.”
“Lakini si only director wa usalama ndo mwenye mamlaka ya kuzima signal.Mimi nimezima ukisema watajua kina nani?”
Pasha alicheka kicheko cha ujuaji halafua akachukua paketi ya sigara iliyokuwa mezani akaitoa pisi moja nakuchukua na kiberiti kisha akawasha nakuanza kuvuta.Moshi mzito ukafuka pale ndani.Alipiga pafu zake za uhakika.Alioneshafika alikuwa amezikumbuka sana enzi zake.
“Wazito wanajua kila kitu.Wanadukua mtandao nakupata taarifa zote kunihusu tupo list tunaochungwa kwa kujua mambo Fulani.Wengine tuliachwa hai kwa sababu maalum na wengine walipotezwa.”alitoa tamko zito na gumu sana.
“Najua kuna mengi una fahamu ila nataka kitu kutoka kwako.”alisema Toti.
“Niulize lakini nataka uhakika wa usalama wangu.Walitishia familia yangu ikabidi nijitoe sadaka.”kuna mambo yaliwachanganya Masha na Toti tangu kuletwa hapa kwa bwana Pasha anasisitiza kuna kundi linalomdhibiti nalimeshadhibiti wengi ni kundi gani?Wao walimwita kwa mambo Fulani na wala sikuzungumzia sababu zake za kuwekwa kizuizini.Lakini wangetegemea mambo kama yale.
“Mzee kwa heshma zote.Kuna vitu tunataka kukuuliza ila please personal issues zako ziweke pembeni.Rais aliyepo madarakani anataka kufahamu kitu.”
“Kitu gani?Ila lazima mjue mambo yangu binafsi.Nimechoka nimeshawekwa kizuizini kwa muda mrefu sasa.Siogopi lolote na kama wangekuwa na nia yakunimaliza wangetekeleza kitambo ila kwa sasa no!”
Masha alimeza mate kukausha koo.
“Ni kwanini ulitekeleza amri kumuweka kizuizini ADC Pangabutu?”aliuliza Toti huku akiwa amekaza macho,”Unataka usalama jibu maswali yangu vizuri.”
“Kwasababu alikuwa anajua mengi.Kumuacha astaafu halafu aendelee kuwa raia wa kawaida kulimuweka katika hatari ya kusema siri!”
“Siri gani?”
“Kuhusu mkataba wa 13:14!”alitaja bila chenga wala kupepesa macho!
“Unahabari kwamba Pangabutu alikufa kwenye mlipuko juzi?”
“Huo ni uongo!Makubaliano alitakiwa kuwekwa kizuizini na sio kufa.Kwanza iweje awepo kwenye eneo lenye mlipuko alihali yupo kizuizini?Alitoka saa ngapi na alitoka na nani?Unless mniambie wanabadili mbinu za 13:14!Ilikuwa hivi kila anayetaka kujiingiza kwenye 13:14 na wakahisi ataharibu au hastahili basi hupotezwa au wanabadili kanuni ikiwa nikufuta baadhi ya watu wanaoijua ishu hiyo vizuri au wanafunika kombe kwa wale wanaojua siri sana wanatengenezewa vifo.”
Masha na Toti wakatumbua macho.Waliangaliana kwa umakini kisha wakaendelea,”Faili namba 13:14 linahusiana na nini?”
“Lilikuwa jambo zito napengine ni kitu chepesi tu ambacho kilibebeshwa ngozi ya chui ili wengine wasikijue.Kuna sababu tatu pesa,nguvu na mapenzi ukiweza kuvijua vitu hivi basi utajua kuhusu 13:14.Walitumia sababu hizo kwamba ni pesa,nguvu na mapenzi ndo siri ya 13:14!Hakuna aliyeruhusiwa kuingilia wengine tulibahatika kujua mambo ya siri tu.”
“Mzee unatuambia mambo mazito lakini tunataka kujua kwamba ni jambo gani linafanyika katika faili hilo?”
“Ninachojua kwa upande wangu ni kitu kama mkataba wa siri sana.Kuna watu walikula viapo katika mkataba huo.Halafu wakatengeneza hali Fulani ya kuwachanganya wengine ili kila anayetaka kujua anakutana na kizuizi kikubwa sana.Hii ni Afrika kuna mengi hufanyika kwa maslahi ya mtu binafsi.”
“Ni madawa ya kulevya?”
“Haiwezi kuwa madawa.Huu ni mkataba kitu kama rasilimali Fulani za taifa.Ila sijui ni nini?Kuna rasilimali wanataka kuichuma hapa ila ni kama imeuzwa nje.Rasilimali hiyo haina sharia iliyotungiwa inawafaidisha wachache.Tangu wapange kuanza kuichimba hawakufanikiwa kutokana udhibiti kutoka kwa makundi yanayotaka rasilimali hiyo itumike wanavyotaka wao.Hakuna anayetakiwa kuigusa isipokuwa kundi la watu walioanzisha mkataba huo.Wananguvu na uwezo wa kutosha.Wako tayari hata kuharibu nchi ilimradi interest zao zilindwe.”
Masha alimtizama tena Toti,”Ina maana hata ajali pale uwanjani ilikuwa ni kuhusu huu mkataba wa 13:14?”
“Inawezekana mkiweza kulisaka jambo hili kwa undani mtaweza kuwapata waliohusika na shambulio lile.Naskia ni mwanajeshi aliyeangusha ndege.Lakini ukweli hiyo ni impossible!Haiwezekani rubani angushe ndege kwa namna ile.No!... Never!Ile ni maksudi!Wanabadili mbinu.Muwatafute hadi muwapate then take them out!Serikali ni moja hatuwezi kuwa na kundi linaloamua tofauti kwa manufaa yao!”
ITAENDELEA WIKI IJAYO