Vitabu vya Ben Mtobwa vinapatikana Kkoo.Njama na Kikomo vinapatikana pia Kariakoo ila Kikosi cha Kisasi sijakiona kwa sasa.
Kule ushatukimbia,tena mkuu furesh tuHata msihangaike.humu kuna mwanaye ndiye anaye endeleza shughuli hiyo anaitwa neema mtobwa. Humu jf anatumia ID ya nameless girl
Kkoo sehem gan au duka ganHata msihangaike.humu kuna mwanaye ndiye anaye endeleza shughuli hiyo anaitwa neema mtobwa. Humu jf anatumia ID ya nameless girl
Vitabu vya Mtobwa vipo.Vitabu vya Ben Mtobwa vinapatikana Kkoo.Njama na Kikomo vinapatikana pia Kariakoo ila Kikosi cha Kisasi sijakiona kwa sasa.
Kuna posta, kariakoo na kinondoni. Sehemu yako ya karibu ni ipi?Kkoo sehem gan au duka gan
Msimbazi kwa wauza magazetiKkoo sehem gan au duka gan
Mimi Niko Njombe, lakin Mara nyingi nakuja DarKuna posta, kariakoo na kinondoni. Sehemu yako ya karibu ni ipi?
mmh! Mbona umefunua ID ya MTU? Bila shaka alijificha hapo, nakutumia verified userHata msihangaike.humu kuna mwanaye ndiye anaye endeleza shughuli hiyo anaitwa neema mtobwa. Humu jf anatumia ID ya nameless girl
mbona umetukimbia mkuuHata msihangaike.humu kuna mwanaye ndiye anaye endeleza shughuli hiyo anaitwa neema mtobwa. Humu jf anatumia ID ya nameless girl
Usisahau pia: Hofu. Hujuma.Njama. Kufa na Kupona. Kikosi Cha Kisasi.
Umenikumbusha miaka ya themanini. Mambo ya Aristablus Elvis Musiba.
R.I.P
Mazee umenikumbusha mbali sana. Mzee Musiba alikuwa anaandika story anakupeleka kutoka Palm Beach Hotel Dar, Johannesburg SA mpaka Sierra Leone unajiona kama umefika vile.Usisahau pia: Hofu. Hujuma.
Mkuu!Mkuu kama hutaimaliza hapa useme kabisaa .
Kwa wanao hitaji kitabu cha
1 kikomo.
2; Njama
3; Umsolopagaus.
4; mashimo ya mfalme suleiman.
Anitafute.
Njoo PmMkuu!
Mm nahitaji vitabu hivi hasa Njama na Kikosi cha kisasi
Naomba namba yako tafadhali
Alikuwa akiitwa Aristablus Elvis Musiba.Tukumbushie enzi zetu miaka ya 80...Musiba Elius Musiba alikuwa na kipaji kikubwa sana katika utunzi wa vitabu vya riwaya, mungu amlaze mahali pema peponi.