Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Haahaaa Willy kwa totoz
 
Mkuu kama hutaimaliza hapa useme kabisaa .

Kwa wanao hitaji kitabu cha
1 kikomo.

2; Njama

3; Umsolopagaus.

4; mashimo ya mfalme suleiman.
Anitafute.
Kaka salama?!! Nahitaji kitabu change machimbo ya mfalme Suleiman.. Nakupataje?! Asante
 
Anayetaka kitabu cha hofu cha msiba na kufa na kupona tubadilishane na chochote alicho nacho nichek DM ila kwa dar tu
 
Dah nimekumbuka mbali sana nilikua darasa la tatu kuna inspector wingo Mwana mtama inspector ojiti ojoko wa Kenya na ageshi mwamba kama jambazi sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…