Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mh! Huyu tony namuona mkali kumzidi austinAhsante sana, ngoja nione mambo ya Tony kisha tulinganishe na yale ya Austin na Mathew wa peniela
Mh! Huyu tony namuona mkali kumzidi austinAhsante sana, ngoja nione mambo ya Tony kisha tulinganishe na yale ya Austin na Mathew wa peniela
Kuna mwingine anaitwa Elvis wa I DIED TO SAVE PRESIDENTAhsante sana, ngoja nione mambo ya Tony kisha tulinganishe na yale ya Austin na Mathew wa peniela
Hiyo sijawahi kuisomaKuna mwingine anaitwa Elvis wa I DIED TO SAVE PRESIDENT
Hata Mimi hiyo sijaipata hiyoKuna mwingine anaitwa Elvis wa I DIED TO SAVE PRESIDENT
Mmh ngoja kwanza sio kirahisi hivyoMh! Huyu tony namuona mkali kumzidi austin
Ok ngoja tuone mwisho Wa movie itakuwajeMmh ngoja kwanza sio kirahisi hivyo
Hiyo ni ofa kwa wale wasomaji wanaomchangia kidogo mwandishi. Ni kali sana.Hiyo sijawahi kuisoma
Iko humu?!
mtu gani umemisika ujue
Nadhani ilipofikia ni kwenye point ya kulipia. Jamaa alianza kwa dozi ya hatari na kadri siku zilivyosonga, dozi ilizidi kupungua.Arosto tayari![]()
![]()
![]()
Nadhani ilipofikia ni kwenye point ya kulipia. Jamaa alianza kwa dozi ya hatari na kadri siku zilivyosonga, dozi ilizidi kupungua.

Akuje tu jamanBora hata umuite wewe, pengine atakusikia..
Ila atakua amebanwa tuArosto tayari![]()
![]()
![]()
Sawa mtugani jaman tumekuelewaKesho Wakuu leo nimebanana ila nikuahidini tu Kitu hii Mtaipata Mwanzo Mwenga Kwa Utaratibu huu huu wa Kitonga
Kwa wale wanao nunua Riwaya basi kuna Habari hii njema Kwenu
*KUTOKA MASIMULIZI*
KAMA UTAPENDA KUENDELEA NA SIMULIZI YA
*I DIED TO SAVE PRESIDENT PART TWO*
SASA IPO TAYARI NA WAWEZA KUIPATA KWA TSH 3000 TU.WASILIANA NASI