Riwaya: Bring back our girls

Riwaya: Bring back our girls

TAARIFA KWA UMA

Story yetu Pendwa (Bring back our girl)
Bado iko Mikononi mwa Mtunzi wetu kwa maana bado inaandaliwa
Hivyo nawaomba muwe na Subra Week ijayo tutaanza tena kuiwakilisha humu

Kumbukeni Utaratibu utakuwa ule ule Bandika Bandua

Tunawaomba Radhi kwa usumbufu wote tulowasababishia na si kosa letu wala kosa la Mwandishi bali ni Muda kuwa mchache na Mwandishi wetu ana Viporo vingi
 
Mshauri patrick asiwe na story nyingi zinapungua ubora wake, ni vyema akawa nazo 2-4 kwa mwaka zitakuwa bora zaidi kuliko kuwa na story 10 ambazo hazina ubora

Kwangu, bado monika na peniel ni bora mara 100 zaidi kuliko hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7dd75b4973cf1401aa8108909a6d1bcb.jpg
 
Mshauri patrick asiwe na story nyingi zinapungua ubora wake, ni vyema akawa nazo 2-4 kwa mwaka zitakuwa bora zaidi kuliko kuwa na story 10 ambazo hazina ubora

Kwangu, bado monika na peniel ni bora mara 100 zaidi kuliko hii...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushauri wako ntaufikisha Mkuu

Ila ni Mapema mno kuihukumia hii Story kwani bado mbichi saana
 
nalakuhoji humo! itakuwaje Monica CIA ajue kunashambulio hlf CIA wanaoshirikiana na serikali wasijue!!! bado nipo ktk kinagaubaga!!😱
 
Daaah mtu gani wa jf wewe unazingua banaa...
Nimeisoma kimya kimya tena haraka haraka ili niwafikie wenzangu, leo nimewafikia ngoma imekataa daah sio poa..
Basi tutafutie hata kachombezo wakati tukisubiria hiyo...
 
TAARIFA KWA UMA

Story yetu Pendwa (Bring back our girl)
Bado iko Mikononi mwa Mtunzi wetu kwa maana bado inaandaliwa
Hivyo nawaomba muwe na Subra Week ijayo tutaanza tena kuiwakilisha humu

Kumbukeni Utaratibu utakuwa ule ule Bandika Bandua

Tunawaomba Radhi kwa usumbufu wote tulowasababishia na si kosa letu wala kosa la Mwandishi bali ni Muda kuwa mchache na Mwandishi wetu ana Viporo vingi
Asante tuletee nyingine basi jaman
 
Back
Top Bottom