Nia yangu si kukupinga juu ya ulichosema kuhusu Rita.Kimfupi simfahamu huyo dada kwa sana ila concern yangu ni moja tu...unapokuwa na mtu kama yeye basi unategemea kuna watoto vijana na watoto watampenda na wanaweza kumchukulia kama role model wao kwa hiyo haitoshi tu kwa yeye kuwa mtoa vitu na mwenye upendo sana....ndo kusema hata her conduct nje inakuwa ni jambo la msingi sana.
Hivyo licha ya sifa nyingi...nafikiri suala ya yeye kuishi responsibly ili vijana wetu waweze kujifunza zaidi toka kwake ni la msingi.Unapokuwa public figure nafikiri kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.
Huo ni mtazamo wangu binafsi tu na sina nia ya kuonesha Rita haishi vizuri huko nje.
unajua huyu muanziashaji wa thread hiii kapotea njia, alijua hapa ni ZE UTAMU maana kule angepata response anazozitaka ,maana kuna ambao wangesema ana ngoma ndo maana kakonda , wangesema anatembea na vijivulana vidogo , hasa hayo ndo huyu jamaa anayataka kusikia kutoka kwa watu na wala hana nia ya kumpamba huyu mama zaidi ya kumchafulia ILA SORRY MUTEKANGA YOU ARE IN THE WRONG PLACE AT THE WRONG TIME WITH THE WRONG THREAD, bora kama vinakuwasha kuongelea watu muweke Mandela au Sokoine hapo.ambapo sielewi zaidi ni hapo mara kakonda, mara yupo hivi na vilee.....haeleweki point yake ni nini haswa.
Yeah anakuza vipaji vya wasanii kukalili na si kuwa creative maana kila nikijaribu kufuatilia wasanii wa nyuma wa BBS je wanaweza kushindana na watu kama Tundaman ambaye alikuwa underground unakuta wasanii wa BSS hawatii mguu hakuna creativity zaidi ya kukalili nyimbo za wasanii wengine.
Da, Nguli hiyo sura, umejaliwa kinomi!Dada yuko fresh sana tu mbona, namwona kama hana mashauzi
in the news paper wana replace "r" with "l". Au ulimaanisha kitu kingine? .
If not her, then it's whose business?Ritah ni business woman na swala nani anatoka naye ni none of her own business....
Mkuu ungejadili hoja ingejenga zaidi kuliko hii ya kulalamikia lungha.Tanzania ina lugha mbili rasmi yaani Kiswahili na kiingereza.Hivyo basi usione shida mtu akiwa katikati asielewe any kwa ufasahaMamamia,hoja yako ni nzuri ila tatizo ni jinsi ulivyochanganya lugha.
Nadhani ingekuwa vizuri kama tuna hoja tuziwakilishe kwa lugha yetu ya taifa (Kiswahili).
Haileti maana nzuri kwa mtu mwenye lugha yako ya taifa kutumia lugha nyingine. Usipokikuza wewe kiswahili nani atafanya hivyo? Lazima tubadilike kwani kwa kufanya hivi tunadharaulika jamani. Nchi za wenzetu ambao hata lugha za mataifa yao hazijulikani sehemu nyingine duniani huzithamini sana lugha zao. Na kujua lugha zao ni kigezo cha mtu kupata kazi au kupata nafasi katika vyuo mbalimbali nchini mwao. Mfano nchi za ulaya magharibi na mashariki.
Mimi ninatumia sana kiswahili ingawa nipo nje ya nchi.