Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

Status
Not open for further replies.
ni chaming ana roho nzuri sana kila akiongea hutamani amalize.....mwenye kutaka simu yake ani PM with $300 kama transaction fee
 
Kama una njaa sema watu wakusaidie ila usianze kumtumia mwanamke wa watu kufanya deal
 
si unamuona madam kama yuko kwenye 20's alivyo mkali....toa $300 acha longo longo....
 
Ninawaheshimu watu wachache katika taifa letu la Tanzania, kati ya ninaowaheshimu ni Ritta paulsen . Kama wewe unafutatilia kipindi cha Bongo Star search, utakubaliana na mimi juu ya maa huyu. Kwamba amekonda, hayo kwangu ni upepo uvumao! Kila mtu anaweza kukonda na kila mtu anaweza kuuugua.

Ritta, ana roho ya utu, she has a human heart! Ningepata bahati ya kukutana naye, ningemwambia neno hilo kwamba She has a human heart. Daima ninaguswa na jinsi anavyojaribu kuwatendea haki wale vijana wanaotafuta vipaji. Anaoneysha utu, upendo na kuwajali vijana wote.

Kila mtu ana uhuru wa kuishi maisha yake binafsi. Nisingependa kujiuliza anala wapi, anakula nini au anafanya nini akitoka kwenye jukwaa la BSS. La msingi ni ana mchango gani takika jamii. Mchango wake tumeuona; yule jamaa mlemavu aliyetaka kujitosa kwenye BSS na kushindwa, alimsaidia kurekodi mziki wake. Amekuwa akitoa misaa mingi na kuonyesha moyo wa mapendo kwa vijana na kusema kweli vijana wanalifahamu vizuri hili.

Tumpongeze kwa kazi, na tuachane na tabia za kuangilia sura na mambo mengi ya nje. Tuangalie roho za watu!
 
Nia yangu si kukupinga juu ya ulichosema kuhusu Rita.Kimfupi simfahamu huyo dada kwa sana ila concern yangu ni moja tu...unapokuwa na mtu kama yeye basi unategemea kuna watoto vijana na watoto watampenda na wanaweza kumchukulia kama role model wao kwa hiyo haitoshi tu kwa yeye kuwa mtoa vitu na mwenye upendo sana....ndo kusema hata her conduct nje inakuwa ni jambo la msingi sana.

Hivyo licha ya sifa nyingi...nafikiri suala ya yeye kuishi responsibly ili vijana wetu waweze kujifunza zaidi toka kwake ni la msingi.Unapokuwa public figure nafikiri kuna mambo kadhaa ya kuzingatia.

Huo ni mtazamo wangu binafsi tu na sina nia ya kuonesha Rita haishi vizuri huko nje.
 
Mutekanga, huo ni mtazamo wako. Ni kweli huyu mama ana roho ya utu. Lakini je, tunafahamu the other side of the coin?

Wapo watu wengi wanasaidia vijana, walemavu, wanawake na watoto. Hivi hujawaona? Sina hakika kama mchango wa Madam Ritta ni mkubwa kiasi cha kutufanya tujadili utu wake.
 
Ukiona wanaume wanakuwa wambeya, wanakuwa wambeya kweli si mchezo,ha ha ha,bora wanawake ,kwao umbeya hulka,
 
celebritybc.jpg
 
nakubaliana 100% na Mutekanga. we have to address issues and not personalities. Kwa hakika huyu dada anastahili pongezi. Mengi tukijadili kwa mfumo huu, tunaweza kufanikiwa kuleta chachu ya mabadiliko katika taifa letu. Tutangulize maslahi ya taifa, na hasa wanyonge mbele kwa kila tulisemalo, au kwa kila tulitendalo. Mungu Ibariki Tanzania.
 
nakubaliana 100% na mutekanga. We have to address issues and not personalities. Kwa hakika huyu dada anastahili pongezi. Mengi tukijadili kwa mfumo huu, tunaweza kufanikiwa kuleta chachu ya mabadiliko katika taifa letu. Tutangulize maslahi ya taifa, na hasa wanyonge mbele kwa kila tulisemalo, au kwa kila tulitendalo. Mungu ibariki tanzania.

mi niko curious na wewe mtamu,we ni female sio?
 
Kibaya zaidi ni wanaume ndo wanaogonza agrrrrrrrrrrrr
Yaani baadhi ya tabia za wanaume wa humu JF ni balaa, hadi huwa najiuliza hivi hawa kweli ni wanaume au? Maana kwa vijembe huwawezi, majungu + mipasho ndio usiseme. Yaani wana gubu kwenda mbele. Ila nadhani ndio uhuru tena wa kutoa maoni .
 
Yap....!!!!
Uko sahihi kabisa Mzee..Madam Ritta ni m2 wa wa2...Huwa hana unafiki ni mkweli penye ukweli...Hongera sana madam Ritta keep it up..2takupa UBUNGE on da coming years..
2po pamoja..
 
Sijui mada hii inaelekea wapi lakini kungelikuwa na awards za watu wanaojitolea haswa kukuza vipaji vya vijana, ningempigia kura Ritta.

Kudo's girl... you on top
 
ambapo sielewi zaidi ni hapo mara kakonda, mara yupo hivi na vilee.....haeleweki point yake ni nini haswa.

Swadakta luv watakuja watu hapa wagonga Ikulu we subili....sijui wanataka kutuambia nini hapa mm sielewi mtu wa watu kivp kibongo star search au vp?
 
lakini kungelikuwa na awards za watu wanaojitolea haswa kukuza vipaji vya vijana, ningempigia kura Ritta.

Yeah anakuza vipaji vya wasanii kukalili na si kuwa creative maana kila nikijaribu kufuatilia wasanii wa nyuma wa BBS je wanaweza kushindana na watu kama Tundaman ambaye alikuwa underground unakuta wasanii wa BSS hawatii mguu hakuna creativity zaidi ya kukalili nyimbo za wasanii wengine.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom