Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
attachment.php

attachment.php

Thanks God....
 
Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    17.8 KB · Views: 998
  • C.jpg
    C.jpg
    18.1 KB · Views: 1,048
Aisee, I've bin wanting to say this muda kweli. madam rita kweli u are beautiful and blessed with a kind heart ila huwezi kutofautisha kazi na the good heart that u have.

Kwenye BSS kwakweli ur too much to handle, i rily hate it when u give POSITIVE, 'CHARITY' and FALSE comments to the contentasts. you might think you are encouraging them but deep down ure the one killing their talents by not telling them that they are wrong and point out areas to improve.

kipindi cha mwisho\ juzi ndo uliboa kabisa when you supported a contestant anayeimba broken english eti kwasababu BSS sio university correcting language!!!! kweli, artist akiimba broken language huoni it wont be an entertainment but a total boring and awful thing to listen? tena uka sema kwamba mshiriki mmoja anafaa kwasababu kushindwa kuimba exactly kama another music artist sio issue coz 'tuna kujudge wewe kama wewe, whitney huoston ni whitney na wewe ni wewe' this was rily sick!!! kwani mshiriki anatakiwa ajue uwezo wa sauti yake na kuchagua nyimbo anayoweza kuiga, ndio hatakiwi kuiga 100%, creativity is allowed lakini anachoimba kinatakiwa kifanane (sauti) na the original song.

My honest comment and recommendations, Madam Ritha should remain the owner of BSS and leave other professionals to do the judging coz you are not impressing us. Salama, Pfunk na Master jay are doing a rily great job, rily great and they can produce a ril star. kuwabeba washiriki sio sawa coz BSS is not charity...its a talent show!

Otherwise, i love BSS and beautiful madam ritha!
 
Mamamia asante kwa hoja hii,lakini kama ungeamua aidha kuandika kwa kiswahili au kingereza ingependeza sana.lakini kwa mtindo huu wa kingereza/ kiswahili kwangu binafsi naona kuna dosari kidogo.Haya ni mawazo binafsi tafadhali.
 
Mamamia, nadhani na wewe ulitakiwa kuwa mmoja wa majaji wa hili shindano, maana hili shindano halipo kwa ajili ya kusaka vipaji vya uimbaji ila kuigiza. Angalia majaji hawajawai hata kuimba lakini ni wakosoaji ile mbaya. Mchanganyiko wa lugha haukolezi story yako ikapendeza. Jitahidi kuwa muungwana wa lugha, kiswahili kinazungumzwa na nchi 8 duniani.

K Gwamaka
 
Mamamia asante kwa hoja hii,lakini kama ungeamua aidha kuandika kwa kiswahili au kingereza ingependeza sana.lakini kwa mtindo huu wa kingereza/ kiswahili kwangu binafsi naona kuna dosari kidogo.Haya ni mawazo binafsi tafadhali.

Message sent.
But Is it delivered?
 
Nadhani imefika tuamue kwamba kama hoja ni ya kiswahili iwe kiswahili ..ma ya kiingereza iwe kwa kiingereza ila tuweke ufafanusi wa lugha nyingine kwenye mabano kwa wenzetu walioondoka nyumbani siku nyingi na ka-upepo ka kiswahili kanawapiga chenga.....
 
Ahh mie hata sijui katokea wapi kwa sababu hakuwepo katika lile kundi la ma Super Stars..hell hakuwepo kwenye kundi la ma star!

all of a sudden she comes from no where and blows!!

nilimwona couple of times kule Midetereaneo..na mara ya mwisho tulikuwa naye pale Moven [ic..the last friday of the month kama kawaida..na of course na mimi nikamfungia ma dirisha vile si unajua tena...He kuja michuzi namwona nikasema ala!

lakini hii changanya yake sijui ya wapi maana hafanani na watu wa mwambao..
 
doesnt matter she can get it

GT...theory ni hii katika mambo ya kujichanganya....ukiwa business man basi posibility ni kubw aya kutoka na business woman...ni kama vile politician wachukuana wenyewe kwa wenyewe.....musician/movies star...sasa kama ww ni Anti Fisadi then inabidi utoke na anti fisadi mwenzio maana hakuna common denominator kama business man/woman aje aji-mix na politician....umeshanielewa.....

besides madame Ritah huyo ninamba nyingine aisee yupo kwenye different level...ila unaweza ukawa unamuota hivyohivyo kwa kumuangalia kwa michuzi....
 
lakini hii changanya yake sijui ya wapi maana hafanani na watu wa mwambao..

GT,

Mbona yupo kitambo tu katika socialites wa bongo? Naona anazidi kukwiva tu.

Ni kati ya wale Wanyarwanda uliokuwa una watolea xenophobia sana hapa. Go figure.

Utakuwa kama wale machizi xenophobic wa Kimarekami waliokuwa wanawabonda sana wa Mexico lakini wakampa license Salma Hayek kwa sababu she is a cutie :)

Kula la kheri.
 
GT...theory ni hii katika mambo ya kujichanganya....ukiwa business man basi posibility ni kubw aya kutoka na business woman...ni kama vile politician wachukuana wenyewe kwa wenyewe.....musician/movies star...sasa kama ww ni Anti Fisadi then inabidi utoke na anti fisadi mwenzio maana hakuna common denominator kama business man/woman aje aji-mix na politician....umeshanielewa.....

besides madame Ritah huyo ninamba nyingine aisee yupo kwenye different level...ila unaweza ukawa unamuota hivyohivyo kwa kumuangalia kwa michuzi....

Kelly ujawahi kuona watu wa field tofauti wakiwa pamoja au sababu ni matawi? watu wanataka kupanda huko huko wakavinjari...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom