RITA eleweni jina la babu sio jina la ukoo

Mda mwingne tusilaumu hao watu bure. Mfano hapa ulikuwa utumie john kipingo julius ili jina mtoto likija litakua ni peter john kipingo, tofauti na hapo mtoto ni kama hukumpa jina lake la ukoo kwa mfano ungemuita peter kipanga kwene cheti lingelikuja peter kipanga john. Kwa ujumla mpangilio wa majina yetu nayo yanachangia. SORRY KWA KUTUMIA HILO JINA KIPANGA NIMETOLEA TU MFANO.
 
Sahihi kabisa. Nilipambana nao sana. Wabishi.
Nilichogundua sasa. Wewe acha kutumia jina lako la 3 ambalo ni Julius,la babaako. Anza kutumia jina la ukoo. (Mfano wewe unaitwa John Julius Mwakyusa). Jiite Mwakyusa. Mke anapoenda kujiandikisha crinic hakikisha jina la baba aandike Mwakyusa John.
SAWA MKUU
 
Mmh! Mkuu mbona majina ya mtoto unachagua mwenyewe mzazi utake yaweje.

Ndo mana kuna fomu ile unajaza na ndio wanayoifuata namna unataka majina ya mwanao yawe.

Kama mwanao anatumia majina matatu hilo la tatu unaliruka unaandika hilo na ukoo unalolitaka na wenyewe wanafuata vivyo hivyo.

Hapo si ajabu kukuta we mwenyewe ndo ulichemsha.
Sijaelewa hapa kipenzi. Kwamba mimi ni Abdalah Mkina Manyanza naweza kumuandikisha mtoto Ally Manyaza Abdallah? Hebu tumia mfano
 
Kipenzi hapa kwa mfano we si Abdallah Mkina Manyanza mwanao si ndio anaitwa Ally hapo utachagua sasa kama awe ALLY ABDALLAH MKINA au ALLY ABDALLAH MANYANZA.

I hope utaelewa sasa. 🤪
 
Nafikiri lengo lao au serikali ni kuwa na akina John Joseph Julius na Ally Muhammad Ahmad nchi nzima.

Huu ujinga huwezi ukuta Rwanda, DRC, Uganda, Uchina, Korea n.k.
Kwani hayo majina ya Ali, Juma, Charles mlipewa na serikali?
Si mliyachagua wenyewe wakati tumeacha majina yetu ya asili kwa ridhaa yetu!!
Wanigeria na wa South Africa wamekataa ujinga huo
 
Habari wote.

Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.

Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
Shida inaanzia kwako unapojaza fomu.
Ile nafasi ina jina la mtoto, la kati na la mwisho. Pale mwisho weka jina la ukoo linatoka hivyo hivyo.
 
mkiambiwa kwamba islamization of tanzagiza inaendelea muwe mnaelewa, jina la ukoo kurithishwa ni Christian, sasa wanabomoa "mfumo Kristo" na ndiyo maana wamefuta jina ukoo, kwa kifupi ukoo wako unapotea kwa maana watoto hawatarithi jina na jina la ukoo kupotea.

kwa muslims hakuna kitu kama jina la ukoo, jina la ukoo ni urithi tulioachiwa na Christianity ...
Ona mpumbavu huyu mfia dini. Kwamba Waislam hawana majina ya ukoo? Wewe wa wapi?
Unaongea hisia kuliko uhalisia.
Mimi hapa binafsi ni Muislam na nina majina 6 kabla ya jina la ukoo lakini nimeyaskip yote hayo natumia la ukoo.
Yaani iko hivi:
Endasak Jamal Ali Yusuf Mahmud Abdulwahid Ali Maskaroda
Kwenye official names zangu ni Endasak J Maskaroda (vyeti vyote vya elimu) pamoja na kadi ya kupiga kura.
NIDA na Passport zina majina yote matatu. Na mimi jina maarufu zaidi ni Endasak Maskaroda hiyo initial ya kati mara nyingi siiweki.
Nani kukakataza kutumia majina yako ya ukoo?
 
Nani kukakataza kutumia majina yako ya ukoo
 
Habari wote.

Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.

Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
ROSTAM AZIZI..ROSTAM AZIZI..ni magenius to mtajua kwanini ROSTAM AZIZI
 
Ona mpumbavu huyu mfia dini. Kwamba Waislam hawana majina ya ukoo? Wewe wa wapi?
Unaongea hisia kuliko uhalisia.
Mimi hapa binafsi ni Muislam na nina majina 6 kabla ya jina la ukoo lakini nimeyaskip yote hayo natumia la ukoo.
Yaani iko hivi:
Endasak Jamal Ali Yusuf Mahmud Abdulwahid Ali Maskaroda
Kwenye official names zangu ni Endasak J Maskaroda (vyeti vyote vya elimu) pamoja na kadi ya kupiga kura.
NIDA na Passport zina majina yote matatu. Na mimi jina maarufu zaidi ni Endasak Maskaroda hiyo initial ya kati mara nyingi siiweki.
Nani kukakataza kutumia majina yako ya ukoo

jina la kwanza na la familia ni Christian, arabs na muslims hawana huo utaratibu, kama wewe ni muslim na una jina la ukoo lisilobadilika vizazi hadi vizazi basi haufwati mfumo wa majina wa islam bali ni western, unatumia Christian system ya majina, lkn mfumo wa majina kama tuujuavyo leo hii i.e given name na family name ni Christian na western origin.

na kwa kawaida jina la ukoo halipaswai kubadilika vizazi hadi vizazi, hiyo ni western system lkn culture nyingine hawana huo mfumo kwa mfano india hata jina la familia hakuna, wana jina moja tu basi, warabu na muslims wanatumia utaratibu mwingine ...
 
Habari wote.

Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.

Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).
Kwanza RITA wanaamuaje jina la mtoto, wakati mtoto ni wako?
 
Yeah ndio inakua hivi miaka yote
Ni kweli mm nilikuwa natumia majina mawil langu na la baba nilivoenda rita nikaandika la kwangu na la mwisho la ukoo yani jina la nne la babu nikaacha na naitwa hivo hata nduguzangu pia ni hivo
 
Back
Top Bottom