Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni ,
1.Muhoozi Kainerugaba
2.Patrice Rwambogo
3.Natasha Museven Karugire
Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana.
=======
Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
Habari Wakuu.
Natoa ushauri kwa Mamlaka kama Rita na nyinginezo pamoja na Watanzania kwa ujumla.
Kumekuwepo na idadi kubwa ya watoto au watu wazima ambao katika majina yote matatu hakuna hata jina moja la kitanzania.
Binafsi mimi naona hii si sawa, binafsi naona hii si sawa.
Angalau katika...
Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.