Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Usiombe uwe na jicho la tatu kwani utashindwa kuishi kwa amani. Utaona mambo mengi katika ulimwengu wa roho. Unaweza ukaona mtu yupo uchi huku anauza chakula, unaweza kupanda gari lenye fisi ndani, je utahimili?
Ndivyo ilivyo tunaishi na maisha tusiyoyaona
 
Ndivyo ilivyo tunaishi na maisha tusiyoyaona
Mkuu hii mada yako imenifanya nianze kufikiri kitu. Kila nikitoka kwenda kwenye kinywaji ninapokua narudi kuna sehemu huwa namkuta mbwa jike ananisindikiza mpaka home. Wife alikua anamwogppa sana Mara ya kwanza lakini kwa sasa anamsifia sana kwamba anatulinda. Na huwa tunamkuta sehemu ile ile moja. Sasa ninawasiwasi asije kuwa ni mchepuko wangu ana fani ya kujibadili. anatusanifu tunavyoongea [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana huwa kuna mizimu inatulinda... Mingine tuna asili nayo.. Mingine ni upendo tuu
 
Kuna siku kimbunga kilipita mitaa ya home, mbwa wetu akakifukuza huku akibweka sana, baadae kimbunga hicho kikatoweka,kuanzia hapo mbwa huyo akawa bubu yani habweki wala kutoa sauti yoyote mpaka mwisho wa maisha yake! Tulishangaa sana
 
Kigodoro cha wachawi yeye akataka kuleta ufundi... Wakamzima vocal... Waliblock mazima
 
Duh! Au ndo yule mbwa kule Kusini mwa Tanzania?
 
Kuna mwalimu mmoja wa dini alisema uende jini mzee alikua anapita maana utembea kwa vimbunga viumbe hao wakizeeka, na akamdhuru mbwa huyo kwa kukausha sauti yake! Sikumwelewa kipindi kile alimaanisha nini kwakua elimu hiyo nilikua sinayo kabisa
 
Kiuhalisia kwa sehemu kubwa vimbunga ni mashetani au majini na ukikiangalia vema utaona sura ya mnyama hasa joka au mbweha
 
Samahani naomba unisaidie hata kwa ushauri to,,, nina watoto Mapacha ikifika saa sita usiku wanaamka na wanalia haswa tena ikifika saa nane ndo balaa mpk saa kumi au kumi na moja wanatulia
Wapake kitunguu saumu kwenye paji la uso kifuani na kwenye viganja vya miguu na mikono.. Lakini kabla ya hilo waogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo.. Jaribu hii hata usiku wa leo. Kesho nipe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…