Kinachokera zaidi unakuta wanaume nao wanawangia watu. ila ukimkamata mwanga mwanaume hakuna haja ya kumpiga mnamwendea kwa mtaalam anamuoteshea bonge la chura [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] !!! hapo unakua mmepuka hata uvunjaji wa sheria[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]session moja haimalizi masaa 12,... Kwakuwa mhusika halisi itabidi abaki ndani kwakuwa kivuli hakipo
MeditateI see okey, how is that possible?
Mpangaji nae alikufa?mshana jr
Nilikuwa siamini binadamu aweza kuwa mnyama,
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Pale kibo kushuka kule bonde la gide,kuna siku nimeshinda nje akatokea mama mmoja anafoka anadai paka amemfuata alipokuwa anachota maji,na amempa kichapo hivyo tusubiri msiba,
Kama masikhara tukawa tunacheka tukajua ni utani,
Hayakupita masaa tukasikia yowe za msiba mzee mmoja mitaa ile akafariki na aliondoka na mpangaji wake pia.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji115][emoji115]Anaweza kuwa hivi... Au afeView attachment 701439
Wengi waliojaribu kuyatumia waliishia kuchanganyikiwa ndani ya muda mfupi... SIKUSHAURI kwa herufi kubwaEti nasikia sijui kuna Dawa gani sijui, ipo kama Mafuta unajipaka Usoni.
Ukishajipaka hiyo Dawa Usoni kuna vitu vingi utaviona, mfano kwenye sehemu za Biashara unakuta wengine waliojichanganya kwenye Biashara ni VIGAGULA na ukiziona Biashara wanazofanya huwezi amini, wengine wanauza Viungo vya Binaadam!
Wewe unaona kama vipande vya Kuku vile, kumbe!
Kwahiyo hayo Mafuta wanayodai, kwa wale VIGAGULA wanaojigeauza Wanyama si ndio unawachora hapo.
Kama kweli hayo Mafuta wanayodai yapo, nipeni Mchongo nayahitaji.
Nataka niwachore VIGAGULA
Ngojeeni mrejesho ataipata fresh. Nawachukia wachawi hadi mwishooooYes usiupike ukiweza pata na damu yake kabisa na kinyesi
Ndiyo, jioni ya msibaMpangaji nae alikufa?
Duh hiyo ilikuwa kali aiseeNdiyo, jioni ya msiba
Jamaa alikuwa anatangaza alivyomuona landlord anafanya yake.
Jamaa alivyozunguka kwenda uwani akafariki dunia ghafla.
Ngojeeni mrejesho ataipata fresh. Nawachukia wachawi hadi mwishoooo
mkomoe mwanga.. Nimekuongezea madini
Kiongozi Mimi niko tayari.Wengi waliojaribu kuyatumia waliishia kuchanganyikiwa ndani ya muda mfupi... SIKUSHAURI kwa herufi kubwa