Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Tupa kule....
Huyu jamaa ni kichwa sana nilisoma nae ilboru akapata point 3
Huyu jamaa ni kichwa sana nilikaa nae rose garden anaongea point huyoooo
huyu jamaa kweli anafaa ni kichwa kweli kweli angalia CV yake
Huyu jamaa ni kichwa sana hata wazungu wanamuheshimu sana aliwakimbiza ile mbaya class masters harvard
Huyu jamaa ana akili sana aisee nakumbuka alinisaidia kupata mkopo wa mil 20 sikuwa na collateral sema nilimahakikishia biashara zangu zitalipa.
Huyu jamaa wee acha tu Mungu amsaidie
Huyu jamaa ana alipata first class udsm huyu jamaa ana akili sana kwao wana nature ya kuwa majinias uuuh
.... Baaaadae saaaana....
Huyu jamaa ana akili sana sema watendaji wake wanamuangusha
Huyu jamaa ni mchapakazi sema bana fitina za pale
Huyu jamaa ana akili sana sema tatizo dini yake
Huyu anachapa kazi tatizo wanasiasa wanamuingilia kazi zake...