wewe una jinsia gani?? kama ni mwanaume acha kumsifia mwanaume mwenzio hivyo.sisi mila na desturi si busara kumsifia mtu bila sababu za msingi.
nisingependa kuponda huu uteuzi kwa sababu huyu mtu hafahamiki kwa wengi na tatujui utenda ji wake ila kuna machache naomba tuwekane sawa
kwanza si kweli kwamba kila mtu aliyesoma ILBORU -UDSM au kupata point VII au point III-alafu firstclass degree ni kipanga au (genius) siyo siyo... kwa wale tuliofika Chuo Kikuu miaka ya nyuma kidogo mtanielewa namaanisha nini
mtu aliyepata firestclass katika fani za masomo ya biashara ni wa kawaida sana. kuna first class za fani nyingine ni balaa zaidi ya hiyo..... kama aliipata kwa miaka mitatu kwa wengine miezi sita wanaweza kuipata
tumjadili mteuliwa kwa mafankio yake siyo bla-blah ...ohh mara baclays.... ohoo BOT mara heee... motgage finance....kuzunguka zunguka katika maofisi hakuwezi kutushawishi watu makini
sasa je?? taaluma yake ya banking na CV iliyorembwa italeta ufanisi TRA ??? katika changamoto tulizo nazo kama nchi??.
watu wengi waliosoma finance/banking wana tatizo la uoga katika maamuzi wana tabia ya kukariri, na wengi si watu wa mikakati, ni watu wa routine jobs, TRA inahitaji mtu wa mikakati strstegist, nafikiri Economist au hata mtu wa engineering mwenye weledi katika fani ya Taxation anafaa zaidi
mimi binafsi sioni kitu hapa mpaka tuone utendaji wake
Kwa hiyo Bade ni mwislam ?Rished Bade, ni msomi anastahili kuchukuwa nafasi hiyo.
watanzania vijana wenzangu acheni unafiki na kujikomba, huyu bwana hana track record na ndio maana ataishie hizo kazi za kupewa na JK mtu wa kiwango na ujinga wake, hebu JK atuambie amefanya nini huyu bwana, Barcklays kuna asiyejua kwamba alishindwa kazi? trade expansion project imekufa chali hana lolote akatolewa kwenda Nairobi kwenye desk kuepuka makosa waliyofanya akakimbizwa kimbelembele mortgage finance against fine bankers kama wakina Charles Singili, ndio JK huyo Udini na ushenzi umemjaa mchezo kwenye vitu vya maana na maisha ya wtanzania na sisi tumerukia kulamba lamaba tu eti amefanya nini hapo mortgate finance amefanya nini hebu kaangalieni kama hamtakuta ulaji wa kishenzi wa hela za mkopo za kuja kulipiwa na wajukuu wetu, leto eti TRA mtoto mtogo hana track record upumbavu wetu wanatakiwa watu wa TRA wasomi tupinge huu ushenzi ushenzi wa Rais hii siyo mali yake, Bade huna uwezo hata watu wa institution ndogo kama Barclays wanajua umbumbumbu wako Kihara anahangaika na lidudu uliloloharibu unakimbie, hana uwezo angekua na uwezo si angeshaitwa kitaifa, wakina Kaberuka tunajidangaya watanzania kwa kupendeleana na kunyimana ukweli, eti majuzi tunaambiwa na Rais migiro kafanya makubwa yetu? wote tunajua kuwa UN kaboa kazi imemshinda makubwa kuliko nani, Kulima mama Mary Jane Kamm? Kuliko Sabeta Mwambenja? kuliko Stelga Tax? danganyeni hivyo hivyo nchi inarudi nyuma, kuliko Hilda Ngole? we can not wait for 2015 let us get rid of these substandard, religious, craps, hata mpambe vipi zero tu hamuwezi kutuendesha hivi rais wa kwanza kufikishwa Haigue
Ni mara ya kwanza naona hapa JF nafasi ya unaibu inajadiliwa kwa kina kiasi hiki.
Ukiona moshi unafuka,...
Mkuu usije ukaambiwa mdini.
Rished Bade, ni msomi anastahili kuchukuwa nafasi hiyo.
halafu halahala totoz hapo TRA mumeishaJamani huyu c ndo ameua Barclay Bank (T)?? alikuwa anatoa mikopo kwa marafiki zake tuu mpk ikapata hasara ndo akaja mkenya??? Kweli tanzania hii kuwa uyaone...Kila kitu ni kujuana na si utendaji.....Hakika huko TRA marafiki zake hatalipa tena kodi
Hahahaaahahahahaha mimi nimeelezea tu observation yangu na kama kuna mtu ana record ya nafsi ya unaibu iliyojadiliwa kiasi hiki aiweke.
Leo Rais kamteua mnadhimu mpya wa jeshi na Mkuu wa JKT mpya. Its interesting kufuatilia kama nafasi hizo nyeti zitajadiliwa kwa kiwango sawa na nafasi hii ya unaibu.
Mkuu naona unaijua vizuri hiyo stori. Watoto wa mujini walianzisha kampuni na kuajiri wafanyakazi hewa kisha kupeleka payroll hewa na kupewa mikopo ambayo haikulipwa!! Kwani baada ya pale alienda Nairobi au alienda Mortgage Finance?
Mkuu hapa unazungumzia Nafasi inayosimamia MAPATO YA TAIFA.......na kijana ni potential kuchukua either U-Kamishna General TRA au BOT Gavana Mtarajiwa..........
Huyu Kijana kwa ufupi tunaweza kumuita kama mmoja wa mastrategist makini......na sio mzungumzaji kama alivyo dogo Mchechu.........yeye ni mtendaji zaidi.......isipokuwa nachelea kusema Kinachonitatiza ni UKARIBU wake na FISADI Dr. Iddrisa........ni kama vile ilivyo kwa Prof Muhongo na Mstaafu Mkapa..........
Bade ni Msomali.
Ni mtanzania labda Ana asili...hiyo....
All in all Hadi mwisho wa mwezi uliopita jina la aliyekuwa apate hii Nafasi ya D DG TRA ( DG) .....ni BAshir Awale ...MD wa Stanbic.....,imekuwa Kama surprise jina la Bade kutoka.
Awali JK alikuwa anataka kutoa UDG kwa Director of income tax ....ila bahati mbaya ni mgonjwa kwa sasa na Mara nyingi yupo in and out Apollo......wengi walitegemea kuwa Baada ya kuwa Amekuwa mgonjwa hii Nafasi ingetangazwa.
Uteuzi wa wanajeshi majuzi safi kwakua ni wakristo,Bade hafai kisa muislam.Hii ni nchi yetu sote