Risasi zarindima arusha


Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
11,287
Likes
3,721
Points
280
Kibo10

Kibo10

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
11,287 3,721 280
Mhudumu wa Bar, Witness Erasto ajeruhiwa kwa risasi kichwani na mfanyabiashara, adai aliongezewa bili ya vinywaji, polisi wanachunguza.
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,450
Likes
1,761
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,450 1,761 280
Itabidi sasa kila mtanzania amiliki hii kitu
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
24,203
Likes
3,357
Points
280
Preta

Preta

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
24,203 3,357 280
Duh...Arusha sasa noma...
Haya yametokea Bar gani?
Hali ya Witnes ikoje?
Huyo mfanyabiashara amekamatwa?
Sijui kwa nini sikwenda na yangu Tanga......nikaitumia pale Nyinda na ile calcularor makorokocho......
Halafu nakutafuta kweli.......

cc:mad:Blaki Womani.. PakaJimmy
 
Last edited by a moderator:
Makamee

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
2,006
Likes
110
Points
160
Age
29
Makamee

Makamee

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
2,006 110 160
Njia za aina hii zinaweza kupunguza mifumuko ya bei kwa bidhaa madukani.
 
Likata

Likata

Senior Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
104
Likes
2
Points
0
Likata

Likata

Senior Member
Joined Nov 17, 2013
104 2 0
Alikuwa na hamu ya kutumia gun not otherwise, bar meid!? Kisa kazidisha hapo buku kwenye bill
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,707
Likes
2,848
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,707 2,848 280
Mhudumu wa Bar, Witness Erasto ajeruhiwa kwa risasi kichwani na mfanyabiashara, adai aliongezewa bili ya vinywaji, polisi wanachunguza.
Ebu jaribu kuandika habari iliyokamolika mkuu,..ni mhudumu wa bar gani,..huyo mfanyabiashara anaitwa nani....?...huu ni uandishi nusu nusu
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,707
Likes
2,848
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,707 2,848 280
Sijui kwa nini sikwenda na yangu Tanga......nikaitumia pale Nyinda na ile calcularor makorokocho......
Halafu nakutafuta kweli.......

cc:mad:Blaki Womani.. PakaJimmy
Halafu kwani wewe Preta unajua hizo risasi zinarindima wapi....mmmmmh?
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,707
Likes
2,848
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,707 2,848 280
Duh...Arusha sasa noma...
Haya yametokea Bar gani?
Hali ya Witnes ikoje?
Huyo mfanyabiashara amekamatwa?


huyo atakuwa mfanya biashara za mirungi ama bangi,..mfanaya biashara hawezi kutoa bastola kwa kuzidishiwa bili buku or so.
 
B

Barasu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
1,156
Likes
1
Points
133
B

Barasu

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
1,156 1 133
Mhudumu wa Bar, Witness Erasto ajeruhiwa kwa risasi kichwani na mfanyabiashara, adai aliongezewa bili ya vinywaji, polisi wanachunguza.
Polisi wanachunguza nini? "Ameongezewa bili akachapa mtu risasi". Its simple and clear!
 
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,306
Likes
128
Points
160
mathematics

mathematics

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,306 128 160
vipi tena mabilionea wa Arusha.
 
mpiga domo

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
828
Likes
1,171
Points
180
mpiga domo

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
828 1,171 180
all ina all watu wa arusha wengi wana mambo ya kishamba na ubabe wa kizamani lakin on the other hand nimefurahi bar maid kupigwa risasi walikua wamezid kutuongezea bili kizembe
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,953
Likes
7,593
Points
280
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,953 7,593 280
Ni bilionea gani huyo kafanya hii kitu?
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,622
Likes
2,688
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,622 2,688 280
Mhudumu wa Bar, Witness Erasto ajeruhiwa kwa risasi kichwani na mfanyabiashara, adai aliongezewa bili ya vinywaji, polisi wanachunguza.
jamani jamani,,,,,,,
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,018
Likes
178
Points
160
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,018 178 160
Mleta uzi naona kaweka hapa na kaishia zake.
Kibo10 hebu rudi hapa na ufunguke vema hali ilivyokuwa na usiwe na haraka please!
 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,309