Risasi zarindima arusha

Mkuu hii ndo bill yenyewe ilisababishwa risasi "kurindima" au mfano tuu kuonyesha vile ukizabaa unakatwa kiaina fulani......Kwema lakini chairman
Chezea billi za wadada wa kimbulu na warangi!
Mtu anapata mshahara wa 45,000 kwa mwezi lakini anasomesha mwanae KambiYa FiSi Academy, we hushangai?
attachment.php
 
Mbona kuna maneno mengi tu ya Kireno, Kihindi, Kiarabu na Kijerumani? Au nao ni wabantu?

Lugha yeyote ile duniani ina tabia ya kukopa maneno na kutohoa pia kutoka kwenye lugha nyingine....
Kwa mfano maneno kama shukrani, asante..kiswahili kimeyakopa kutoka kwenye lugha ya kiarabu...
Msomage hustoria ya lugha wakati mwingine tusichoshane hapa....
 
Na yule dada aliye mtishia polisi na bastola kisha kupigwa risasi ya bega yameishia wapi?
 
Ingekuwa enzi zangu napiga yale mavitu ninge zimimina zakutosha........
 
Hivi hata risasi 1 ikipigwa tunaweza kusema jiji kama Arusha limerindima kwa risasi?????? Hivi hiki kiswahili cha mrindimo kinatumika wakati gani???? Au ndio udaku????

Hahahahahaaaaa
risasi za rindima Hahahahahaaaaa kumbe ukute ali trigger one tym tuuuu
Hahahahahaaaaa
 
Arusha kitu kinanichosha ni hizi beretta kila aletoka mirerani anayo, kila mwenye duka ya spare parts, bolt n nuts, hardware na wholesale anayo.

Kilichobaki ni sisi waendesha Toyo na mikokoteni kununua za kwetu.

Kila siku lazima zilie, lazima mtu alie.

Sijui nani kaamua kugawa Bunduki kama Kondom za PSI huku mtaani, wanyonge tunaumia daily, ila mjue hizi hizi siku mtazipokonywa na ziwarudi ninyi wenyewe.

Fikiria hao wahudumu wenziwe sasa hivi ni nini umewajengea vifuani mwao? Ndugu zake Whitney je? Watoto (kama anao), mpenzi? Marafiki? Kwa hesabu ndogo hapo ushajenga maadui kama 10 na zaidi, ushajenga visasi mioyoni mwao.

Na wakienda "Nyumba ya Blue" kulalamika wanakuta tayari wazee washapoozwa.

Haki iko wapi? Utu uko wapi??

Wazee hizo Bunduki ziwalinde, zisiwatese wengine.

Iko wapi Arusha yangu ya Wasomi?.

Puppy samahani PSI maana yake nini
 
Last edited by a moderator:
Wazungu wakivunja kiswahili tunashangilia..sie tukivunja ki.inglishi tunapakana...kaaz kweli kweli...
Hii lugha siyo yetu tinajifunza tu mrekebishe alipokosea badala ya kumkatisha tamaa....

Hilo nalo neno
 
Back
Top Bottom