Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,744
Muda mfupi uliopita katika barabara inayotoka Ukonga Mombasa kwenda Moshi bar, eneo la " kwa Temba" watu waliokuwa wakiendesha pikipiki wamevamia gari na kurusha risasi hewani kisha wakachukua kiasi kikubwa cha fedha iliyokuwa ndani ya gari.
Inasemekana kuwa meneja wa kituo cha mafuta cha Temba alikuwa akipeleka fedha kwenye kituo kikuu kilichopo Mzambarauni.
Hakuna majeruhi wala vifo
Inasemekana kuwa meneja wa kituo cha mafuta cha Temba alikuwa akipeleka fedha kwenye kituo kikuu kilichopo Mzambarauni.
Hakuna majeruhi wala vifo