Mkuu ngoja nikuulize swali, unadhani sahihi kwa Watanzania kuishi kwa uoga?
Mathalani watu wanaoporwa na vibaka pesa ndogo ndogo, je ni uzembe wa mtu anayeporwa?
Samahani endapo nikiomba ulinzi wa Polisi natakiwa kumlipa?
||Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for couple of days||
Ashukuru kapona nadhani siku nyingine atakumbuka kuomba ulinzi wa Askari,mzembe mwenzake kafa jana Mlimani City...
Kubwa jinga
Muda mfupi uliopita katika barabara inayotoka Ukonga Mombasa kwenda Moshi bar, eneo la " kwa Temba" watu waliokuwa wakiendesha pikipiki wamevamia gari na kurusha risasi hewani kisha wakachukua kiasi kikubwa cha fedha iliyokuwa ndani ya gari.
Inasemekana kuwa meneja wa kituo cha mafuta cha Temba alikuwa akipeleka fedha kwenye kituo kikuu kilichopo Mzambarauni.
Hakuna majeruhi wala vifo
KeyserSozeSi bure..., ni mawili either haujui unachoongea au unashirikiana na hawa majambazi
Kubwa jinga
Polisi hawawezi kujua kama unasafirisha fedha. Ni jukumu lako kuwapa taarifa ili wakupe ulinzi. Watu waache kufanya mambo /vitu kwa mazoea
Ashukuru kapona nadhani siku nyingine atakumbuka kuomba ulinzi wa Askari,mzembe mwenzake kafa jana Mlimani City...
Usipende kuwaamini sana watu linapokuja suala la Pesa, hao Polisi wenyewe kama Pesa nyingi wanaweza kukufanyia mpango au wanaweza kukuua ili Pesa wachukue wao
Mkuu ikiwa polisi na majambazi wanakula njama kwenye kufanya ujambazi iweje tena hao hao niwaamini ninapokuwa na pesa nyingi?mkuu inaonekana hauna imani kabisa na jeshi letu! unaweza tudokezea ni kwa nini?
Mkuu ikiwa polisi na majambazi wanakula njama kwenye kufanya ujambazi iweje tena hao hao niwaamini ninapokuwa na pesa nyingi?
Kuna matukio Mengi sana ambayo mapolisi wametiwa hatiani kutokana na kufanya ujambazi likiwemo tukio moja Mbeya ambalo lilishirikisha hadi askari magereza, na sijui kesi yao inaendeleaje hadi hivi sasa