risasi kariakoo zinamiminika...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
nimepita kkoo wadau kuna mvua ya risasi...
na mpaka naondoka eneo la tukio chanzo hiki hakijapata habari kamili...

kwa zisizo rasmi inasemekana ni ugomvi wa polisi na raia wanaogombea nyumba/kiwanja maeneo ya kkoo sokoni...

kama kuna mwenye mo newZ!
 
Aiseee baba yangu nilikuwa nataka kwenda huko k/koo ila ngoja nikanunue mwavuli,,si kunamvua ya risasi
 
Aiseee baba yangu nilikuwa nataka kwenda huko k/koo ila ngoja nikanunue mwavuli,,si kunamvua ya risasi

teheee!
risasi za moto wewe!
kama una mwavuli wa chuma aya...

vip unapeleka MBEGE kkoo?
 
ndugu hapafai...
na unasikia tu milio...paaaaa!hujui inakotokea!
unaweza ukajikuta unaifuata.
hahahahaah sasa umeshaanza kutupa utamu halafu unakatisha ooooooooohoooooo! rudi usifike mpaka hapo kaakwambali.
 
hahahahaah sasa umeshaanza kutupa utamu halafu unakatisha ooooooooohoooooo! rudi usifike mpaka hapo kaakwambali.

watu ni wengi kwa kweli...
maduka yanafungwa...
polisi wamezagaa...
na sasa nasikia sauti kama za mabomu...
nahisi ni mabomu ya machozi kwa ajili ya kusambaza watu...

tumeingia ndani ya jengo hili la soko kuu...na tumefungiwa...
e bana eeh!
najuuta kuja kkoo...
 
nasikia chanzo ni nyumba ilitakiwa ivunjwe bt kuna watu walikuwa wanapinga isivunjwe na zie purukushan za watu kukimbizana zilitokana na mabomu ya machoz yalokuwa yakipigwa na police
 
mimi natoka huku sasa...
naelekea MADALE nasikia huko nako kumenuka mbaya.
 
nasikia chanzo ni nyumba ilitakiwa ivunjwe bt kuna watu walikuwa wanapinga isivunjwe na zie purukushan za watu kukimbizana zilitokana na mabomu ya machoz yalokuwa yakipigwa na police

ni ile nyumba ya NHC ya ccm nini?
 
Wamewekeza sana kwenye kudhibiti raia wema kwa risasi na mabomu ya machozi. Instead wangepaswa kukamata majambazi na majangili. Mambo mengine yanataka diplomasia tu shame on them.
 
huo ugomvi ni tangu wiki ya juzi usiku watu walitwangana mawe na Polisi walizidiwa nguvu...

Mahakama imeruhusu Nyumba ambayo ilikuwa na mgogoro wa muda mrefu kuvunjwa.
Lakini wasambaa wa mtaa wa Pemba na kwengineko wanakaidi amri hiyo na kuzuia nyumba hiyo kuvunjwa kutokana na maslahi yao wenyewe.

Nyumba hiyo imenunuliwa na Big Bon...

Then nyumba hiyo iko mtaa wa Kongo.
So mtoa mada anaposema ni Sokoni anakuwa anapotosha.

Asanteni
 
dah... Waniachie hiyo tenda ya kuvunja mm jamani... Mi yamewahi kunikuta mara2 nikiwa kariakoo... hizo pande za walala hoi.. So kufya tua risasi hakunaeffect kwao....
 
hizo risasi kwa kariakoo lazima zipigwe juu,maana huko kokote atakako elekeza lazima ikutana na raia.
 
Back
Top Bottom