Ripoti yako ya mwaka 2011 imetoka

Ripoti yako ya mwaka 2011 imetoka

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Ripoti yako ni kama ifuatavyo:-

Kuoga F+ (Maji shida),
JF A+
FACEBOOK A+
Wivu A+,
Uvumilivu A,
Uchokozi A+,
Kuzurura A,
Kulala uchi A,
Kuchukua bibi za watu A+,
Siasa A+,
MAPENZI KAZINI A+,
Kutumia kondom F,
Kwenda kanisa F,
Kutongoza watoto A+,
UHUNI A+,

BY TYCHICUS
DEAN OF STUDENTS
TABUTUPU UNIVERSITY
 
Tabutupu ripoti yako inatisha, kumbe ndivyo ulivyo. Omba Mungu akupe nursa.
 
Wouw! jamani toto langu, limefaulu hlo, so proud of my son! ila hediticha hujatoa gpa?
 
Wouw! jamani toto langu, limefaulu hlo, so proud of my son! ila hediticha hujatoa gpa?

Hiyo haina GPA coz ana F ya kwenda kanisani, itabidi afanye sup kwanza kisha apewe hiyo gpa
 
Ripoti yako ni kama ifuatavyo:-

Kuoga F+ (Maji shida),
JF A+
FACEBOOK A+
Wivu A+,
Uvumilivu A,
Uchokozi A+,
Kuzurura A,
Kulala uchi A,
Kuchukua bibi za watu A+,
Siasa A+,
MAPENZI KAZINI A+,
Kutumia kondom F,
Kwenda kanisa F,
Kutongoza watoto A+,
UHUNI A+,


nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom