nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 660
- 729
Haha second Congo War. Ilikua Uganda Burundi na Rwanda rebel side. Na Angola na Zimbabwe Government side.Na gazeti lako loote hilo kwanini hutaki kusema RDF ilipigana na nchi 5(Angola+Zimbabwe+Chad+Namibia+Congo) tena hapo Rwanda ikiwa imetoka kwny Genocide miaka 4 tu iliyopita.Na wkt huo Angola na Zimbabwe zikiwa considered kama majeshi bora kabisaa Africa.
Unadhani kwanini kitona operation(inatumika kufundishia kwny baadhi ya vyuo vya kijeshi?) Kama case study.
Vipi Nkuru na Burundi yake anaweza kupigana na nchi 5 hata kwa siku 2?
Namibia haikutoa asikari ilitoa transport plane iliyobeba Angola soldiers. Chad haikushiriki.
Hivyo upande was Rw ilikua na nchi Tatu ngeni na upande wa Angola ilikua nchi mbili ngeni.
Na almost 80% ya Asikari walikua toka Angola. Zimbabwe ilitoa jet na Asikari 600 tu waliokuwa Kishansa tu na hawakupigana sana vile rebel hawakuingia Kishansa.
Muulize Kabarebe aligeuka tumbili alikula maembe mwezi mzima. Unaambiwa Rwanda iliomba Angola iruhusu Asikari wake watolewe salama.
Sa mukienda Burundi afu Sadc ikaingilia unafikiri itakuaje. Na Kagame akisigia Angola tu anapanic.
Any Kitona ilikua Good plan but idealistic. Ndo maana ilifeli vibaya. Iligeuka jeneza LA RDF
Sent using Jamii Forums mobile app