Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Hahahaha, unahisi kuna party 2 ? Wakizubaa anaendelea miaka miwili ya ziada ,ila sidhani ,maybe iwe mseto ,sababu chama chake kina wabunge 350 kati ya wabunge 500 wa kitaifa, maana ake watatoa Waziri Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
kwaiyo plan B imeenda vzr aise
vip huyo martin huko mahakamani anaweza kuambulia chochote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lakini wakongo wenyewe wameridhika au?

kwaiyo france kabakiza mtoto mmoja EA tena burundi duh

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes wacongo kwa asilimia kubwa wameridhika ,wao kitendo cha kuona JKK hayupo madarakani wameridhika

Ingawa watu wa Kabila ,hasa waswahili na wakatange hawaamini, nchi kupewa MTU wa Kasai ,tatizo walijisahau ,ila ukweli wameridhika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom