Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Felix kufanya kazi na Kabila halina ubishi

Na inawezekana Kabila akadrop kuwa PM
Mmmh. Ila nahisi Tchisekedi atakuwa Rais Poa kwa vile hana compromise nyingi na ma power mongers.

Naitakia Kongo amani ikuze uchumi ijenge vyombo bora vya usalama.
Imalize rebel Kivu. Naamini Kongo ikitulia na Kuwa na Nguvu.


Ukanda wote utatulia. Tchsekedi afanye kazi na Kabila. Urais ni taasisi asiufanye personal ila yeye ndo awe mwamuzi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilikua ni janja janja ya chairman PK

Khs very vikundi kuibuka sidhani ila km vitaibuka ni huko jimbo la Tanganyika, Manono huko ndiko asili ya Mai Mai

Tuache Congo ifanye mambo yake
Though pia mkuu siamini amini hivi kama AU+SADC walikua wako real khs matokeo ya uchaguzi kusitishwa kutangazwa au ilikua ni janja ya kujisafisha mbele ya jumuiya za kimataifa.

Mimi naona stabilisation ya Congo ni mpk Mabeberu wakiona sasa inatosha.

Usishangae vikaanzishwa tenq vikundi vya waasi vya kijinga jinga kupingana na rais mpya ili mradi tu vurugu ziwepo though serikali ya mseto ingeweza kusaidia kiaina kwny situation hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, huo ujumbe wa AU walishakataliwa toka Jana ,wao km kuja waje ktk sherehe za kuapishwa rais mteule

Kuhusu chama cha Kabila ,awe wanatarajia kutoa Waziri Mkuu ,sasa itabidi wakae wamchague ni nani

Na JKK mwenyewe atakua rais wa Baraza la seneti

Tatizo nalo liona ni watu kutoka Katanga /waswahili [ wa luba ] kama watatoa ushirikiano zaidi kwa rais Felix [ mkasai]

Kwann

1..Wakatanga hawaamini wakasai

2..wakatanga wengi ni waswahili na watu wa kujivuna

3..wakatanga wengi walimpigia kula Fayulu ,na wapo waliomsapoti Shadary

4..wakatanga wengi wanamuamini Katumbi ,swahiba wa Fayulu

5..kubwa zaidi wakatanga na wakasai hawaelewani

Yote tisa ngoja tuone ,rais Felix atakuja na Sera gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Wakasai pia wana mbwembwe na kujiona. Hwachekani sana

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ki vipi mkuu? Burundi ni masikini sana, hana uwezo wa kuzipiga na Rwanda. Mi namlaumu sana JK, kwanini alimuacha jamaa madarakani? Alitakiwa amtoe kabisa awe nje ya game, mr slim sio nakwambia.
Hawa watatwangana kiukabila alafu wanyaru wengi hawamkubari slim Ila hawana pakuanzia that why habari yoyote ile kuhusu majaribio ya waasi kutaka kuivamia hyo nchi huwa anayaficha kwa nguvu zote coz anajua wananchi wakishapata pakuanzia hana chake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasemekana kipaza sauti alichotumia rais mteule Tshekedi siku ya kuapishwa kiliwekewa sumu na sasa (29/01/2019) yuko nje ya nchi kimatibabu. Je, tetesi hizi ni kweli?
 
Back
Top Bottom