Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Na gazeti lako loote hilo kwanini hutaki kusema RDF ilipigana na nchi 5(Angola+Zimbabwe+Chad+Namibia+Congo) tena hapo Rwanda ikiwa imetoka kwny Genocide miaka 4 tu iliyopita.Na wkt huo Angola na Zimbabwe zikiwa considered kama majeshi bora kabisaa Africa.

Unadhani kwanini kitona operation(inatumika kufundishia kwny baadhi ya vyuo vya kijeshi?) Kama case study.

Vipi Nkuru na Burundi yake anaweza kupigana na nchi 5 hata kwa siku 2?
Haha second Congo War. Ilikua Uganda Burundi na Rwanda rebel side. Na Angola na Zimbabwe Government side.
Namibia haikutoa asikari ilitoa transport plane iliyobeba Angola soldiers. Chad haikushiriki.

Hivyo upande was Rw ilikua na nchi Tatu ngeni na upande wa Angola ilikua nchi mbili ngeni.

Na almost 80% ya Asikari walikua toka Angola. Zimbabwe ilitoa jet na Asikari 600 tu waliokuwa Kishansa tu na hawakupigana sana vile rebel hawakuingia Kishansa.

Muulize Kabarebe aligeuka tumbili alikula maembe mwezi mzima. Unaambiwa Rwanda iliomba Angola iruhusu Asikari wake watolewe salama.

Sa mukienda Burundi afu Sadc ikaingilia unafikiri itakuaje. Na Kagame akisigia Angola tu anapanic.

Any Kitona ilikua Good plan but idealistic. Ndo maana ilifeli vibaya. Iligeuka jeneza LA RDF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mkuu bana, unaposema Namibia haikutoa askari unamaanisha?soma hapa chini:

In February 1999, Namibian Defence Force personnel in the Congo numbered barely 1,000,likely a single infantry battalion with staff, artillery, and logistics support.

Between 2000 and 2001 this figure may have fluctuated between 1,600 and 2,000, though Namibian troops remained of little importance to the conflict.

They were withdrawn by 2002 by which 30 servicemen had been killed in action and the war effort was costing Namibia $150,000 a day.

Chad haikushiriki sio?soma hapa chini

Chad agreed to send 2000 troops. France had encouraged Chad to join as a means of regaining influence in a region where the French had retreated after the 1994 genocide committed against Tutsi in Rwanda .

Nevertheless, Chadian intervention resulted in a fiasco. Its forces were accused of serious human rights violations and looting virtually from their arrival in the country. They withdrew very quickly under international and national pressure and shame.

Sasa hapa tunabishana nini wkt unaweka data za uongo mkuu?
 
Sasa hapo kwny hio habari uliyoiweka nchi ya Tanzania imetajwa wapi?naona ukiona SADC tu unajua tu Tz imehusika mpk unadanganya mjomba wako alipigana kwny hio vita,hahah.

Afu next time ukiweka gazeti kama hili la kutoka wikipedia uwe unaweka lote sio tuvipande vipande ambavyo havionyeshi full picture.

Afu mkuu mbona huweki list ya vita ambavyo Burundi imepigana chini ya Mkurunziza na results zilikuaje ili tuone mziki mnene wa Burundi hapa?
Tz ilishiriki vita ya kwanza ya Congo. Vita ya kwanza mataifa yafutayo yalishiriki kumung'oa Mobutu.

1. Rwanda.
2. Uganda.
3. Angola.
4. Splm. South Sudan Militias.
5. Chad.
6.Eritria (batolian nzima)
7. Burundi.
8. Tz ilitoa kikosi cha mizinga.

Tz haimani katika kufinance rebels. Hivyo ilifanya kisiri sana. Its a Fact Tena mjomba wangu alikuwa Congo na stories mingi za wanyamlenge alinipa.
Na zaidi aliniamba RDF ni poor sana katika military train ila si waoga.

Weka source hapa kusapoti unachokisema kuhusu ushiriki wa Tz kwny 1st Congo war la si hivyo hakuna kitu kama hicho.

Tz haikua na interests zozote Kongo za kuifanya iingie vitani,part zote zilizoshiriki Kongo war zilikua na sababu za kwanini zimeingia vitani,tuwekee hapa sababu za kwanini Tz ilipigana kwny hio 1st Congo war.
 
Hahah mkuu bana, unaposema Namibia haikutoa askari unamaanisha?soma hapa chini:

In February 1999, Namibian Defence Force personnel in the Congo numbered barely 1,000,likely a single infantry battalion with staff, artillery, and logistics support.

Between 2000 and 2001 this figure may have fluctuated between 1,600 and 2,000, though Namibian troops remained of little importance to the conflict.

They were withdrawn by 2002 by which 30 servicemen had been killed in action and the war effort was costing Namibia $150,000 a day.

Chad haikushiriki sio?soma hapa chini

Chad agreed to send 2000 troops. France had encouraged Chad to join as a means of regaining influence in a region where the French had retreated after the 1994 genocide committed against Tutsi in Rwanda .

Nevertheless, Chadian intervention resulted in a fiasco. Its forces were accused of serious human rights violations and looting virtually from their arrival in the country. They withdrew very quickly under international and national pressure and shame.

Sasa hapa tunabishana nini wkt unaweka data za uongo mkuu?
Chad hawakupiga source yako inasema hivyo. Wala Namibia hakuna battle inatajwa walipigana. Mpira ulichezwa na Angola na Zimbabwe. Kabarege akawa Tumbili nasikia alikua hadi mizizi.

Isingekuwa huruma za Angola kuwapa retreat airport Leo Kabarege angekuwa Hayati. Kitona ilikua majeneza strategy. Aliyeiplan alikua too ambitious alisahau kuweka supply line na retreat strategy.

Watu walikunywa mikojo

Ila kupigana na Rw raha sana. Wewe unaweka propanda tu n Watusti wanataka kututawala kisha population inakuunga mkono.

Nasikia wakati wa vita Mtusti alikua akipatikana Kishansa anakula Kiberiti

Hahah umeshindwa kuweka source ya ku support unachokisema umebaki kuleta story za tumbili kula mizizi hahah.

Chad hawakupigana hizo abusing za human rights unadhani walikua wanazifanyia wapi kama sio kwny uwanja wa vita.

Namibia walipoteza servicemen 30 na kutumia $150,000 kila siku unadhani walikua wanafanya nini Kongo.

Kupigana na watusi ni raha sana si unaona hata "mashujaa" wa kihutu walivyowachinja mwaka 1994,hahah.
 
Weka source hapa kusapoti unachokisema kuhusu ushiriki wa Tz kwny 1st Congo war la si hivyo hakuna kitu kama hicho.

Tz haikua na interests zozote Kongo za kuifanya iingie vitani,part zote zilizoshiriki Kongo war zilikua na sababu za kwanini zimeingia vitani,tuwekee hapa sababu za kwanini Tz ilipigana kwny hio 1st Congo war.
Eritria na Splm, walikua na sababu gani.

Hujui Tz ilikua na sitofahamu na Mobutu. Hao akina Kabila waliishi hapa. Tumemleta hadI Che Guevara kuplan kumtoa Mobutu Leo unauliza.

Unajua ni Nyerere aliyesaidia kina Kagame kuloby Angola na mataifa mengine kuunga juhudi za kumtoa Mobutu.
Amini bila ushawishi wa Nyerere. Sadc hasa SA isinge unga mkono hivyo Banyamulenge Movement.

Bila Sadc. RDF wangetaga mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah umeshindwa kuweka source ya ku support unachokisema umebaki kuleta story za tumbili kula mizizi hahah.

Chad hawakupigana hizo abusing za human rights unadhani walikua wanazifanyia wapi kama sio kwny uwanja wa vita.

Namibia walipoteza servicemen 30 na kutumia $150,000 kila siku unadhani walikua wanafanya nini Kongo.

Kupigana na watusi ni raha sana si unaona hata "mashujaa" wa kihutu walivyowachinja mwaka 1994,hahah.
Kwani MoNusCo wako 20000 Kivu wanapigana? Unajua wanatumia pesa gapi kwa siku. Jeshi hats wasipigane wanatumia pesa tu. Mafuta na nk.

Kagame hana huruma huwezi ukapeleka wanajeshi 2000 mile 1000 a way. Huna supply line huo ni ufala. Kutothamini maisha ya wenzio. out of 2000 nasikia walirudi 300. Men hii kama Kamikaze ya Japan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikua na bifu na Angola sababu ya interests zao huko Congo, pia Rwanda ilianza kutoa shavu kwa Savimbi(UNITA) kama kawa.
Jaman Kagame anaogopa Angola kinyama. yule Nkunda muasi alitaka kuteka Goma. Congo ikaalika Jeshi LA Angola. Unaambiwa ikawa vurumai rebel wakaanza kumuasi. Nkunda akakimbilia Kigali hadi leo.

Nasikia other source zinasema Kabarega Alipata Pressure akikumbukia Mizizi ya Cabinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eritria na Splm, walikua na sababu gani.

Hujui Tz ilikua na sitofahamu na Mobutu. Hao akina Kabila waliishi hapa. Tumemleta hadI Che Guevara kuplan kumtoa Mobutu Leo unauliza.

Unajua ni Nyerere aliyesaidia kina Kagame kuloby Angola na mataifa mengine kuunga juhudi za kumtoa Mobutu.
Amini bila ushawishi wa Nyerere. Sadc hasa SA isinge unga mkono hivyo Banyamulenge Movement.

Bila Sadc. RDF wangetaga mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Che Guevara aliyekuja kusema Kabila ni fala tu anajua kutembea na wakina mama,kunywa pombe na kusafiri tu hajui chochote khs vita,hahah.

Sababu ya Eritria kupigana Congo ni hii hapa

"The Eritrean forces fought valiantly and many paid with their lives, arriving in Kinshasa exhausted and ill. They had to be evacuated home. But they also had been of considerable economic benefit to Eritrea. Where they took control of areas of the Congo they set about extracting what benefits they could from its rich mineral reserves. There are stories of gold and other minerals being shipped out, to help boost the Eritrean economy"

Sasa mkuu kama unashindwa kujua wakina John Garang walikua na interests gani Ndani ya Congo tunakua tuna discuss nini hapa.

Tz ilipoteza wanajeshi wangapi kwny 1st Congo war?hahah,we jamaa bana

Weka source hapa ya ushiriki wa Tz kwny vita vya Congo,easy as that maana info zote ziko waziwazi.
 
Jaman Kagame anaogopa Angola kinyama. yule Nkunda muasi alitaka kuteka Goma. Congo ikaalika Jeshi LA Angola. Unaambiwa ikawa vurumai rebel wakaanza kumuasi. Nkunda akakimbilia Kigali hadi leo.

Nasikia other source zinasema Kabarega Alipata Pressure akikumbukia Mizizi ya Cabinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah cheki sasa ni mwendo wa hadithi za kufikirika za Nkunda alikimbilia Kigali sababu ya Angola,mara mizizi ya Cabinda hahah aisee.

Hivi unaongelea hii hii Angola ya dos Santos iliyokuwa inatolewa kamasi na yule mchovu Savimbi au?

Mimi nimeambiwa pia Angola ilikua ina jeshi kali mpk NATO+USA walikua wanaogopa mziki wake aiseee,teh
 
Jeshi la Angola na JWT ni wanaume pekee walioishinda CIA na SA. Savimbi alikua backed na CIA. Kama Kagame alivyo kibaraka was CIA msaliti wa Pan Africanism ndo maana Sadc hawampendi puppet huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani MoNusCo wako 20000 Kivu wanapigana? Unajua wanatumia pesa gapi kwa siku. Jeshi hats wasipigane wanatumia pesa tu. Mafuta na nk.

Kagame hana huruma huwezi ukapeleka wanajeshi 2000 mile 1000 a way. Huna supply line huo ni ufala. Kutothamini maisha ya wenzio. out of 2000 nasikia walirudi 300. Men hii kama Kamikaze ya Japan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah kama kawa story zako za"nilisikia/niliambiwa",hazinaga source.

Mimi "nilisikia" Rwanda walirudi wanajeshi 17 tu.,hahah.
 
Jeshi la Angola na JWT ni wanaume pekee walioishinda CIA na SA. Savimbi alikua backed na CIA. Kama Kagame alivyo kibaraka was CIA msaliti wa Pan Africanism ndo maana Sadc hawampendi puppet huyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee ni kweli Angola ni wakali sana sana mzee baba,nadhani soon wataenda kuipiga Rwanda sababu PK hana Pan-Africanism,teh
 
Kwani MoNusCo wako 20000 Kivu wanapigana? Unajua wanatumia pesa gapi kwa siku. Jeshi hats wasipigane wanatumia pesa tu. Mafuta na nk.

Kagame hana huruma huwezi ukapeleka wanajeshi 2000 mile 1000 a way. Huna supply line huo ni ufala. Kutothamini maisha ya wenzio. out of 2000 nasikia walirudi 300. Men hii kama Kamikaze ya Japan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa!! Pk
Na huwa anakuwa proud sana kuwachinjisha wenzake! Wanaitwa 'mashujaa'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom