Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi inawasaidia waasi wa NRC kuiangusha serikali ya Kagame

Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
15,212
Likes
24,364
Points
280
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
15,212 24,364 280
Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi yamsaidia Jenerali muasi wa Rwanda
na RFI

Jenerali muasi katika jeshi la Rwanda (RDF) Faustin Kayumba Nyamwasa.

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonesha kuwa Jenerali wa zamani kwenye jeshi la Rwanda (RDF) anayeishi uhamishoni, Kayumba Nyamwasa anasajili wapiganaji na kupata silaha kutoka nchi za Burundi, Uganda na DRC.

Ripoti hiyo ya wataalamu ya tarehe 31 Desemba mwaka jana, imesema Jenerali Nyamwasa ambaye anaishi nchini Afrika Kusini kwa sasa, amesafiri mara kadhaa kwenda kwenye nchi za ukanda kuunda kundi jipya la uasi linalofahamika kama P5 ambalo liko chini ya kundi la waasi la Rwanda National Congress (RNC).

Kulingana na ripoti hiyo, kundi hilo jipya la waasi linaundwa na wapiganaji kutoka Burundi, waasi wa Kihutu wa FDLR na raia wa DRC kutoka jamii ya Wanyamulenge.

Hata hivyo Burundi imenyooshewa kidole cha lawama kwenye ripoti hiyo kwa kukusanya wapiganaji na kuwasafirisha mashariki mwa DRC katika maeneo ya Uvira. Wapiganaji wake wanadaiwa kutekeleza mashambulizi ya hivi karibuni kwenye maeneo ya mpaka wa nchi ya Rwanda.

Ripoti hiyo iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Desemba 18, 2018 inabaini kuwa Burundi inasaidia kundi la waasi wa Rwanda, la Rwanda National Congress (RNC), lenye makao yake makuu katika mkoa wa Kivu Kusini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kundi ambalo linaoongozwa na Jenerali muasi Kayumba Nyamwasa, afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa jeshi la Rwanda (RDF) ambaye anaendesha uasi wa kupindua serikali ya Kagame.

Kulingana na ushuhuda uliotolewa na wapiganaji wa zamani kutoka kundi hilo, hata wanaharakati wa mashirika ya kiraia kutoka DRC na jeshi la DRC (FARDC), makao makuu ya kundi la waasi wa Rwanda la RNC yanapatikana katikaeneo la Bijabo katika wilaya ya Fizi, kilomita chache na mji mkuu wa Burundi, Bujumbura.

"Msajili mkuu wa wapiganaji wa kundi hilo anapewa hifadhi mjini Bujumbura, Burundi chini ya ulinzi mkali. Mtu huyo anafahamika kwa jina la Rashid, pia anafahamika kwa majina ya Sunday Charles. Yeye ndio anahusika na kusafirisha wapiganaji kutoka Bujumbura hadi Bijabo wakipitia kwenye Ziwa Tanganyika kwa kutumia boti", wapiganaji wa zamani wa RNC wamewaambia wataalamu wa Umoja wa Mataifa.

Ripoti hii inaonyesha kuwa wapiganaji wanatoka katika nchi za Afrika ya Kati, Afrika Mashariki na kusini mwa Afrika, na hata katika ukanda wa Asia ya mashariki.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wapiganaji wengi wa zamani wanabaini kwamba walipewa silaha, risasi, buti, sare na chakula kutoka Burundi.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
2,016
Likes
1,570
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
2,016 1,570 280
Unajua Nyamwasa walishajaribu kumuua mara tatu,ikiwepo kupigwa risasi tumboni.

Mtusi mwenzie Karegeya yeye alinyongwa na ma agent wa Kagame huko S/Africa.
Hata huko S. Africa Gen. Nyamwasa anaishi eneo lisilojulikana na amepewa ulinzi na serikali ya Africa kusini ndio maana hata hiyo ripoti inavyosema huwa anasafiri kwenda Drc kuunganisha waasi inashangaza Sana!
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,399
Likes
12,184
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,399 12,184 280
Kaka nachomaanisha ni kwamba Rwanda haina guarantee ya kushinda hiyo vita wako 50/50 na Burundi. Braza Vita ni mbinu.

History inaonyesha WWII Bila Nyukilia US angepoteza kwa Japan.

Hitler aliingasha France kama upepo. Lakini akakwama Russia.

Dunia ya sasa war is about Allies. Unajua Kagame kaegemea Us/UK.

Unajua France wanafitina gani nae hatujui. Kumbuka ni agency gani ilimtonya M7 kuwa Kagame nataka kukumaliza. Jibu ni France intelligence.

Ushawahi kusikia France anatoa tamko against Nkuru?

Najua Russia walisha give up na Waafrica. But France still operating

Sent using Jamii Forums mobile app
So mkuu kwa kifupi Burundi chini ya Nkuru haijawahi kushinda vita yoyote na haina Major achievements yoyote kijeshi sio?

Sasa unategemea France itatoa vipi tamko kwa nkuru wkt Nkuru anajipendekeza kwa wafaransa hataki kujitegema kiuchumi,kijeshi hata hapa E/Africa yeye ndio full kulia lia na kubebwa na Tz.Yeye sijui kwanini hataki kua Independently kiuchumi na kijeshi.

Ufaransa lazima amchukie PK sababu ya historia yake na PK(jamaa amefuta Legacy/influence ya France hapo Rwanda),unajua kitu kinaitwa OPERATION TURQUOISE?

Ni kweli Kagame ana support ya USA/UK sababu hizo nchi hizo hazitaki France awe na influence kwny nchi alizowahi kuzitawala,so huku CIA/MI6 yuko safe zaidi kuliko kujipendekeza kwa wafaransa.

Na kama ulikua hujafahamu bfr 1995 nchi 14 zilizotawaliwa/influenced na wafaransa hazikua zimejiunga na WB/IMF zilikua mambo ya mikopo zinaitegemea ufaransa mwanzo mwisho ila kwa sasa hazizidi nchi 3 zinazoitegemea ufaransa kihiivyo,so influence yake inaenda kuisha.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,399
Likes
12,184
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,399 12,184 280
Hata huko S. Africa Gen. Nyamwasa anaishi eneo lisilojulikana na amepewa ulinzi na serikali ya Africa kusini ndio maana hata hiyo ripoti inavyosema huwa anasafiri kwenda Drc kuunganisha waasi inashangaza Sana!
Aisee sio mchezo,kuna kipindi jamaa walimuingilia mpk ndani kwake nadhani wakamkosa.

S/Africa Itakua baada ya Keregeya kunyongwa wakaona wakicheza vibaya na Nyamwasa ataliwa kichwa chap tu.

Unless hio ripoti imetengenezwa ili ku justify PK&his company kuingia kazini.
 
nyabhera

nyabhera

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
534
Likes
457
Points
80
Age
33
nyabhera

nyabhera

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
534 457 80
Hapo kwny attack civilian si unaona hata Displine ya kijeshi hawana,ndio maana hata majuzi UN imesema itawarudisha baadhi ya wanajeshi wa Burundi sababu ya poor equiments na poor discpline.

Hivi nini maana ya intelligence mkuu?Kama unaweza ukatumia intelligence ukapigana na kushinda bila kuleta madhara ndani ya nchi yako then unataka nini tena?Marekani umeshawahi kusikia imepigana ndani ya nchi yake.

Ngoja niweke hapa baadhi ya vita hao RDF walivyopigana Congo 1st war,Congo 2nd war(huko walipigana mpk na combination ya jeshi la (Zimbabwe+Namibia+Angola),operations za kutosha huko ndani ya Congo,ishapigana na Uganda Kisangani na Uganda akachezea Kichapo,pia ni ya 5 duniani kwa kua na wanajeshi wengi huko kwny vikosi vya UN.

Hahah Uganda hii hii ambayo M7 wanamjua mpk anapolala?
Mkuu. Bu na Rw zinapakana hakuna namna vita ipigane Rw isipate madhara ni Sawa Us ipigane na Mexico lazima Texas itashamburiwa.

Ukija kwenye Congo Wars.

Ile ya kwanza ilikua ni regional agenda. Ug na Rw walitoa infantry Tz ilitoa Watu wa Mizinga. (Mjomba wangu alienda hii mission).

Vita ya pili Ug na Rw mkataka kumutoa Kabila Senior kwa interest zenu. Mlipo mzidi nguvu Kabila senior SADC Ikaagiza Zimbabwe na Angola wawashughulikie. Zimb wakatoa air force Angola wakatoa infantry. Na ndo mission dude la kichina Chengudu liliwashughulikia RDF hawakuamini . Angola wakawazidi mkarudi hadi Kisangani.

Baada ya kukosa dhahabu Rw na Ug wakageukana kugombani mgodi Kisangani. Hii haikua vita lilikua pambano. Mliwapiga Ug kwenye pambano. Tena kwa Ambush. Ug walikua wa kwanza kuteka Kisangani. Wakiwa mjini RDF wakaanza kuwashambulia toka mlimani. Ug walikua bondeni RDF walikua juu mlimani. Geoposition aliwapa fursa.

Pili Kamanda Kazini aliyekuwa kamanda wa UPDF alichelewa kuamua alidhani ni friendly fire kumbe RDF wamedhamilia.

Nahitimisha.

RDF ilishindwa Congo war ya pili ndo maana Kabila Alibaki Madarakani. Kama kawaida ndo ikaanzishwa waasi Eastern Congo.

Chengdu jet J7 za Zimbabwe ziliwachachafwa kama radi afu Angola akawapiga Ardini hadi Leo Kagame anawaogopa Angola kinoma.

Hahah Tz ilitoa mizinga kwny vita ya Congo?daah hii chai yako haina sukari kabisaa aisee.

Sasa huoni Hilo ni bonge la achievements kwa jeshi la wakina PK na mwenzake kupigana na combination ya majeshi ya nchi 5 (Congo+Zimbabwe+Namibia+Angola+Chad) tena muda huo Zimbabwe ikiwa inaogopeka Africa kwa jeshi imara.

Unadhani ni mziki wa kitoto tena kwa nchi iliyokua imetoka vitani miaka 4 iliyopita ikiwa haina resources za maana wala jeshi la kueleweka,bahati mbaya vita hio ilitengeneza vikundi vya waasi vya kutosha hapo Congo na PK&his allies wanakula matunda ya tu yakuvuna dhahabu+cobalt za kutosha mpk leo.

Aisee boss mbona huweki list ya vita vilivyopiganwa na Burundi chini ya Nkuru na ali achieve kitu gani ili tuwapime hapa?au zile house tortures jeshi linazofanya Burundi kwa raia wake ndo zinawafanya wawe superior?hahaha.

By the way the KITONA OPERATION unaifahamu?

Nilikuuliza OPERATION TORQUOISE unaifahamu pia?

Hahah hapo kwa huyo kamanda wa UPDF alichelewa sijui kufanya nini pamenifurahisha sana aisee,daah ila nadhani M7 anaelewa vzr kilichomtoa kanga manyoya.
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,684
Likes
1,509
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,684 1,509 280
Unajua Nyamwasa walishajaribu kumuua mara tatu,ikiwepo kupigwa risasi tumboni.

Mtusi mwenzie Karegeya yeye alinyongwa na ma agent wa Kagame huko S/Africa.
fact aise nimegundua huna upande ila unaongea ukweli (51%)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,399
Likes
12,184
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,399 12,184 280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,550
Likes
624
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,550 624 280
Hawa wote ni sehemu ya Tanganyika hivyo tuwarejeshe kuwa mikoa na MARC wa kwanza wawe Daudi na Gambooo
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,684
Likes
1,509
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,684 1,509 280
Hahah kuna wadau walikua wanakulalamikia kule jukwaa la international hawakuelewi wewe ni timu Urusi au USA maana kila siku unawabadilikia.,hahah.
mimi huwa naenda na move lkn kiualisia navutiwa zaidi na wajamaa ila tatizo maendeleo ziro

hyo operation kitona ilikuwa ina husu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,684
Likes
1,509
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,684 1,509 280
Mkuu. Bu na Rw zinapakana hakuna namna vita ipigane Rw isipate madhara ni Sawa Us ipigane na Mexico lazima Texas itashamburiwa.

Ukija kwenye Congo Wars.

Ile ya kwanza ilikua ni regional agenda. Ug na Rw walitoa infantry Tz ilitoa Watu wa Mizinga. (Mjomba wangu alienda hii mission).

Vita ya pili Ug na Rw mkataka kumutoa Kabila Senior kwa interest zenu. Mlipo mzidi nguvu Kabila senior SADC Ikaagiza Zimbabwe na Angola wawashughulikie. Zimb wakatoa air force Angola wakatoa infantry. Na ndo mission dude la kichina Chengudu liliwashughulikia RDF hawakuamini . Angola wakawazidi mkarudi hadi Kisangani.

Baada ya kukosa dhahabu Rw na Ug wakageukana kugombani mgodi Kisangani. Hii haikua vita lilikua pambano. Mliwapiga Ug kwenye pambano. Tena kwa Ambush. Ug walikua wa kwanza kuteka Kisangani. Wakiwa mjini RDF wakaanza kuwashambulia toka mlimani. Ug walikua bondeni RDF walikua juu mlimani. Geoposition aliwapa fursa.

Pili Kamanda Kazini aliyekuwa kamanda wa UPDF alichelewa kuamua alidhani ni friendly fire kumbe RDF wamedhamilia.

Nahitimisha.

RDF ilishindwa Congo war ya pili ndo maana Kabila Alibaki Madarakani. Kama kawaida ndo ikaanzishwa waasi Eastern Congo.

Chengdu jet J7 za Zimbabwe ziliwachachafwa kama radi afu Angola akawapiga Ardini hadi Leo Kagame anawaogopa Angola kinoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe victory of RDF ni kushinda pambano tena kwa ambush duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
2,016
Likes
1,570
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
2,016 1,570 280
Hahah Tz ilitoa mizinga kwny vita ya Congo?daah hii chai yako haina sukari kabisaa aisee.

Sasa huoni Hilo ni bonge la achievements kwa jeshi la wakina PK na mwenzake kupigana na combination ya majeshi ya nchi 5 (Congo+Zimbabwe+Namibia+Angola+Chad) tena muda huo Zimbabwe ikiwa inaogopeka Africa kwa jeshi imara.

Unadhani ni mziki wa kitoto tena kwa nchi iliyokua imetoka vitani miaka 4 iliyopita ikiwa haina resources za maana wala jeshi la kueleweka,bahati mbaya vita hio ilitengeneza vikundi vya waasi vya kutosha hapo Congo na PK&his allies wanakula matunda ya tu yakuvuna dhahabu+cobalt za kutosha mpk leo.

Aisee boss mbona huweki list ya vita vilivyopiganwa na Burundi chini ya Nkuru na ali achieve kitu gani ili tuwapime hapa?au zile house tortures jeshi linazofanya Burundi kwa raia wake ndo zinawafanya wawe superior?hahaha.

By the way the KITONA OPERATION unaifahamu?

Nilikuuliza OPERATION TORQUOISE unaifahamu pia?

Hahah hapo kwa huyo kamanda wa UPDF alichelewa sijui kufanya nini pamenifurahisha sana aisee,daah ila nadhani M7 anaelewa vzr kilichomtoa kanga manyoya.
Ile Vita ya pili ya Drc ndio imeivuruga kabisa Drc (hasa mashariki) mpaka leo na imeigeuza kuwa maficho ya kudumu ya waasi na wahalifu kutoka nchi jirani. Ili amani ya Drc mashariki irejee ni lazima nchi zote za maziwa makuu zishirikishwe kwenye huo mchakato.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,399
Likes
12,184
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,399 12,184 280
mimi huwa naenda na move lkn kiualisia navutiwa zaidi na wajamaa ila tatizo maendeleo ziro

hyo operation kitona ilikuwa ina husu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Icheki google hapo boss,it's interesting na kwa sasa inafundishwa na baadhi ya vyuo vya kijeshi kwny baadhi ya nchi kama case study.
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,684
Likes
1,509
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,684 1,509 280
Ile Vita ya pili ya Drc ndio imeivuruga kabisa Drc (hasa mashariki) mpaka leo na imeigeuza kuwa maficho ya kudumu ya waasi na wahalifu kutoka nchi jirani. Ili amani ya Drc mashariki irejee ni lazima nchi zote za maziwa makuu zishirikishwe kwenye huo mchakato.
Drc wanalijua ilo that why wapo Sadc nadhan wanamgambo wa huko(updf na rdf) wanaandaliwa kisago ni swala la muda tu coz sadc wana ajenda ya aman ya drc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
1,684
Likes
1,509
Points
280
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
1,684 1,509 280
Icheki google hapo boss,it's interesting na kwa sasa inafundishwa na baadhi ya vyuo vya kijeshi kwny baadhi ya nchi kama case study.
nitaicheki night

hivi unajua kuwa nkuru kadhamiria mtanange na slim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,399
Likes
12,184
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,399 12,184 280
Ile Vita ya pili ya Drc ndio imeivuruga kabisa Drc (hasa mashariki) mpaka leo na imeigeuza kuwa maficho ya kudumu ya waasi na wahalifu kutoka nchi jirani. Ili amani ya Drc mashariki irejee ni lazima nchi zote za maziwa makuu zishirikishwe kwenye huo mchakato.
Hio ni kweli mkuu,maana ile nchi ina host vikundi vya waasi kutoka Congo yenyewe,Rwanda,Burundi,Africa ya kati,Sudan,Msumbiji etc.Sometimes naona kama ile nchi huko Mashariki ni beyond repair.

Naona watu wana matumaini na huyu Rais wa Drc aliyechaguliwa sasa atatuliza mizozo huko Mashariki lkn sioni atafanya miujiza gani kupatuliza pale.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
2,016
Likes
1,570
Points
280
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
2,016 1,570 280
Naona watu wana matumaini na huyu Rais wa Drc aliyechaguliwa sasa atatuliza mizozo huko Mashariki lkn sioni atafanya miujiza gani kupatuliza pale.
Ila naamini bila kuzishirikisha nchi jirani ambazo zina makundi ya waasi huko itakuwa ndoto kuleta amani japo pia hizo hizo nchi jirani haziwezi kukwepa lawama kwa kuivuriga Drc (huo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na uhalifu)
 
Forum statistics

Threads 1,250,892
Members 481,523
Posts 29,749,792