ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,280
- 15,315
Umeona eeh....Sema dah Magu mwanaume.
Mwanaume msimamo. Ukishachukua maamuzi hata kama dunia nzima inakupinga unayasimamia.
Kuuliza si ujinga lakini kuna swali la kijinga kama lako. Wewe na sampuli za aina yako mna tatizo kubwa sana la uelewa. Nchini Tanzania ugonjwa unaoongoza kwa kuua ni malaria. Au hata na hilo utabisha? Sasa nifahamishe ni nani kati ya vilaza wenzio kafa kwa malaria? Nani kafa mtaani au katani kwa malaria? Acha kuparamia usoyajua. Praise n worship team kwa hili ni usiku wa giza!Wewe una Corona au ndugu zako wangapi ni wahanga wa Corona?
Katika familia yako ni wangapi wameugua na kufa kwa Corona!!?Serikali ilijitoa, sasa hivi korona ni ishu ya kila familia kujijua kivyakevyake
Hatuna takwimu halisi za kiwango cha korona nchini
Duh!Wanafahamika kuwa "ni wenye kukaanga mbuyu na kuwaachia we meno watafune."
Waliko wao mabarakoa hadharani si hiari. Kwao maisha ya waliopo 'ikungu lya bashashi' hayana thamani. Ila huko waliko kwenye black lives matter wako mstari wa mbele. Wanataka kuishi.
Hao ndiyo mangedere ngabu, kuona wanaona ya wenzao. Siyo ya kwao.
Jana wilayani Kahama abiria mmoja tokea Dar amefariki njiani jirani na nyumbani kwake. Night kali ya kwenye Saba Saba muda mfupi baada ya kushuka kwenye basi (rip).
Kisa na mkasa? Zile changamoto za zetu.
Kwenye Corona free country, Corona hsipo kabisa. Ila zile changamoto zetu.
Tuliza mshono basiKwa hiyo?
Nyani Ngabu achana na hawa wanaokubeza, Mimi kama mpenda starehe nimeuzuria viunga vyoote vya starehe, tegeta KB, tegeta club 78, tegeta whatsap pub, baa za acculco bay, kinondoni the governors wamepiga siku ya ijumaa skylite band watu full nyomi,sura za wapenda starehe bado zipo fit na viunga vyotebvya tabatabbado wanakula bata kama kawaidaNdugu zako wangapi wamekufa na corona?
Mbona watu wanazikwa kila siku na wengine kitaifa?Kuonyesha kuwa hatujaathirika kama ilivyotarajiwa.
Au we mwenzetu una Corona?
Ushindi kwa viongozi wetu! Walitumia nini kufuta covid-19? Nilimsikia ajiitaye mwanasayansi bila sayansi akisema covid-19 tumeimaliza! Tulifanyaje tukaimaliza? Kwa nini tusiuze hiyo recipe USA, RSA, Spain na kwingineko tukawa matajiri wa kupindukia katika zama hizi za covid-19? Watu walimiminika kutoka kila pembe ya dunia kwenda kwa Babu wa Loliondo! Sipati picha wangapi watakuja kwa JPM kupata recipe? Ukiona hiki kimya na madongo ya rejareja kwake elewa kabisa si yeye wala hao viongozi wengine mwenye hiyo recipe! Na angekuwa nayo enzi za Iddi Amin kubebwa mabegani na mabeberu zingetua kwake. Angewakoga hatari. Mwenye recipe yupo. Aliye mwingi wa rehema na amejaa neema. Umrehemu amtakaye. Neema ummwagia ampendaye. Alimpenda Yakobo na kumchukia Esau bado mimba!hakuna korona bongo hata wew mi shahidi na ndiomaana huvai barakoa. Ni vyema kufurahia ushndi kwa
viongoz we2 dhidi ye2
Sawa hakuna lakini kwenye Familia yako ipo au majirani , ili tujenge data Mimi na weweSerikali ilijitoa, sasa hivi korona ni ishu ya kila familia kujijua kivyakevyake
Hatuna takwimu halisi za kiwango cha korona nchini
WatatuNdugu zako wangapi wamekufa na corona?
Jibu swali kenge wewe..umeulizwa korona unajibu hepatitis...mbona unakua kichwa maji.jibu swal alilouliza mwana..Sina ndugu aliyewahi kufa kwa Hepatitis B
Haimaanishi kwa mfano kuwa Hepatitis B haipo
Kwahyo wew unajua vifo vinayotokea vinasababishwa na nini!!!Mada inazungushwa zungushwa na maneno mengi, lakini haisemi alichofanya Magufuli ambacho ni tofauti na walichofanya wengine wote kinachosababisha pawepo na tofauti kati ya Tanzania na hizo nchi nyingine..
Kiufupi, ni mipasho tu ya mapambio yasiyokuwa na maelezo.
Kenya kama ameigiza nchi nyingine, na huko Afrika ya kusini nako hivyo hivyo, na Rwanda je, kamwigiza nani. Uganda kamuiga nani?
Corona haipo Tanzania?
Watu Tanzania hawafi, unajua vifo vinavyotokea vinasababishwa na nini?
Ndugu,huko ulipo ni ugenini, sidhani kama huko Una ndugu, au marafiki wengi kama huku,katika hao watu 60,000 waliokufa humjui hata mmoja,unadhani ingekua bongo huku usingekosa hata jirani?.kuna nchi zina Corona hatujakataa, ndio maana vifo ni vingi, uliza huku kwenu ulipo na ndugu na marafiki na majirani wengi unaowafahamu, unaweza kuficha hivyo vifo 60,000???.Mimi naishi nchi ambayo wamekufa watu zaidi ya elfu 60 kwa Corona.
Lakini sio kazini kwangu ambako tuko zaidi ya elfu moja au mtaani kwangu ambako namjua hata. Mtu mmoja tu aliyekufa.
Kwahiyo niamini hii nchi haina Corona?
wewe mwenyewe huko uliko unawajua wangapi waliokufa?
Kwa nini mimi nijue wakati tuliowapa jukumu la kufanya kazi hiyo wamekataa kuifanya.Kwahyo wew unajua vifo vinayotokea vinasababishwa na nini!!!
mimi nilipata corona nikiwa mbeya, na nina watu ninawafahamu karibia watano walipata korona!Kuonyesha kuwa hatujaathirika kama ilivyotarajiwa.
Au we mwenzetu una Corona?