Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

Wengine hawaombi tena ipasavyo? Mitume wa Yesu walimwomba, bila aibu, awafundishe kuomba. USA na kwingineko wanaona aibu kumwomba yesu JPM awafunze sala ya kutokomeza korona??

Kuomba tu hakutoshi mzee baba. Kuomba tena kwa imani. Jana nilisikia hadithi ya Yesu kutembea juu ya maji, na mtume Petro kumfuata. Petro alipokosa tu kujiamini akaanza kuzama. Tuwe wakweli, wengine wote walisema let science lead. Sasa kama hawakuanza na Mungu hapo tunasaidianaje? Sisi wengine sababu ya kujua hatuna hizo science, tulisema tunaanza na Mwenyezi Mungu na ametunusuru
 
Back
Top Bottom