Mbona naona hiyo ni upumbavu tu! Kwa sababu naamini original wanayo PCCB na PAC
Zzzzk kashachukuA chake
Mbona naona hiyo ni upumbavu tu! Kwa sababu naamini original wanayo PCCB na PAC
Soft copies zipo
Tatizo si kwamba imepotea,ni kwamba wameivujisha makusudi watu wasome wenyewe.Msifanye uzembe bhanaa mshinikizeni CAG atoe ripoti nyingine haraka sana na muache kuiweka hovyo hovyo wakati mnajua fika Maintarahamwe hawalali katika jitihada zao za kuhakikisha ushahidi unapotea. Muwasiliane na CAG usiku huu huu kuhakikisha kesho mnapata copy mpya.
Jamani tunaomba serikali iweke ulinzi kwa bwana mengi maana television yake ndio imekuwa television ya taifa tbccm imekufa rasmi. Wananchi wanalazimishwa kuchagua viongozi kwa nguvu? Jama hiki Chama cha ccm vipi? Halafu habari Kama hizi tbccm hawaoneshi.tunaomba bwana mengi apewe ulinzi msije kumpa sumu Kama mlivyitaka kumuua mkono. Wananchi hatuna tena imani Na serikali ya ccm. Jamani kuanzia jumatatu tarehe 24 tukajiandikishe tuanze na serikali za mitaa mwakani tuizike rasmi maccm.
Mtanzania si mtu original Bali ni mtu fake.Badala ya kuwakamata majambazi wanakamatwa wanaosambaza majina ya majambazi, nchi hii ni ajabu sana. hivi huu ujinga unaendelea na watanzania wamenyamaza kimya kama hizo pesa si za kwao au haziwahusu. Kwani tusifanye maandamano yasio na kikomo mpaka Professor feki wa kichina na genge lake la wahuni wajiuzulu na wakamatwe. madawa hospitalini hakuna kwa sababu kama hizi.
Kweli mtanzania ni kondoo kiziwi.
Ni mbaya sana kuonja sumu mkuu.