Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Huu ni upotoshaji sasa hizi tarifa zote soft copy zake zipo hakuna anayeweza kufanya upuuzi kama huo hii ni zaidi ya upotoshaji.
 
Yericko Nyerere... unatafuta kick.. kwa faida ipi hasa? Whoever is driving your scrunated mind..is doing at his/er best
 
Last edited by a moderator:
Mbinu na mikakati ya kitoto kabisa. Hivi kwa akili ya kawaida kabisa ya mtu illiterate atakubali umbulula wa kina lukuvi,wasira na kinana kuivujisha ripoti kisha wawakamate watu fake ili kuuchelewesha mjadala kijinga tu.
Kwa hakika wamechemka parefu mno!. Wakubali matokeo kuwa wao sifuri sisi kumi!.
Hata mbingu zikishuka, kwa hili hawaponi.
 
Jamani tunaomba serikali iweke ulinzi kwa bwana mengi maana television yake ndio imekuwa television ya taifa tbccm imekufa rasmi. Wananchi wanalazimishwa kuchagua viongozi kwa nguvu? Jama hiki Chama cha ccm vipi? Halafu habari Kama hizi tbccm hawaoneshi.tunaomba bwana mengi apewe ulinzi msije kumpa sumu Kama mlivyitaka kumuua mkono. Wananchi hatuna tena imani Na serikali ya ccm. Jamani kuanzia jumatatu tarehe 24 tukajiandikishe tuanze na serikali za mitaa mwakani tuizike rasmi maccm.
 
Nimeona ktk taarifa ya habari leo.Watanzania tumelogwa??. Tufanye mabadiliko japo kwa miaka 5 tukiona nao hawafai basi lakini bora kujaribu.Nn hii sasa????
 
Huyo alikamatwa sio Makonda kweli embu chunguzeni tumesikia mnyika anasema mmoja wapo ni mtu anaejulikana sana.
 
Mkuu , Pasco, kwahiyo ITV imedanganya umma katika taarifa yake ya saa mbili?
Mkuu Gollo, kwani ITV ndio nani?!, ripoti iliyopomtaani ndio hiyo hiyo iliyokabidhiwa bungeni, na hiyo hiyo ya Zitto, kama kuna pages zilichomolewa, then zilichomolewa from the source and not from the recipient!, kama iliyowasilishwa bungeni, haina majina, then ripoti ndio hiyo!, hata kama utanote pages fulani fulani hazipo!, ndiyo ripoti yenyewe!, you can not claim what you never had!.

Nenda kanisome hapa! hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna wa Kuwajibika!.

Jumatatu mtasikia Werema na Maswi, wamefika umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria!!.

Pasco
 
Huyo alikamatwa sio Makonda kweli embu chunguzeni tumesikia mnyika anasema mmoja wapo ni mtu anaejulikana sana.
Anaweza kuwa ben saanane ndiyo zake hizi lakini hiyo ripoti wamekabidhiwa PAC namashaka na akili ya akina zitto.
 
We Yeri, acha uchonganishi!, ripoti iko safi na ndio hiyo hiyo iliyowasilishwa bila hizo kurasa!, usitake kusingizia eti pages zimenyofolewa, as if ilikabidhiwa a complete report kisha ikaibwa, ikanyofolewa hizo pages na kurudishwa!.

ushauri wako huu ni jinai, kuwachonganisha wananchi na serikali yao!. Bahati yetu, Watanzania ni watu wema, ni watu wapole, wana upendo, wanapenda amani na utulivu, hivyo hakuna hatua zozote ambazo wananchi tunaweza kuchukua!.

Tangu mwanzo nimewaambia humu, kuhusu hili, sijui kama kuna waliosikia!.
hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna Yoyote wa Kuwajibika!.

Pasco

Pasco Ni ukweli Taarifa hyo imenyofolewa kurasa tatu na kusambazwa kwa ni kwa madhumuni ya kuwahadaa Watanzania ili hatmaye waliotajwa kuhusika ionekane wanasingiziwa.

Uzuri wa Taarifa hii ni kuwa baadhi ya wasambazaji wa taarifa hyo wametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi na Mmoja kati yao ni mtu wa Karibu na Profesa Muhongo.
 
Last edited by a moderator:
Mda upo watakabidhiwa nyingine na haohao waliowakabidhi mwanzo ,hapajaharibika neno vizuri kwamba imejulikana imesambazwa na kurasa zimenyofolewa .Yaani kama utaangalia kwa vizuri kosa walilolifanya ni kuisambaza ,kama wangebana kimya hadi kufikia kusomwa ingekuwa tatizo ,Ila Mungu kawalani waliona wamepata kumbe wamepatikana.
 
Wameiba makaratasi lakini sie tutasoma kwenye kioo
 
Mkuu Gollo, kwani ITV ndio nani?!, ripoti iliyopomtaani ndio hiyo hiyo iliyokabidhiwa bungeni, na hiyo hiyo ya Zitto, kama kuna pages zilichomolewa, then zilichomolewa from the source and not from the recipient!, kama iliyowasilishwa bungeni, haina majina, then ripoti ndio hiyo!, hata kama utanote pages fulani fulani hazipo!, ndiyo ripoti yenyewe!, you can not claim what you never had!.

Nenda kanisome hapa! hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna wa Kuwajibika!.

Jumatatu mtasikia Werema na Maswi, wamefika umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria!!.

Pasco

Sasa Pasco mbona Maswi hata 55 hajafikisha, itakuwaje astaafu kwa mujibu wa sheria wakati kustaafu ni miaka 60?
 
Back
Top Bottom