Ripoti ya PAC yaibwa Bungeni mpaka ya CAG iliyoko Dar!

Kweri pesa shikamoo! ukiwa na hela nchi hii wawezafanya lolote, wamekwiba pesa na sasa wanazitumia kujilinda. Wakifanikiwa, watazitumia kujisafisha. Kweri pesa shikamoo!
 
@YerikoYerere ulitaka wafanyeje ? Walinde taarifa ya kuwaua ? Ili iweje ?

Mulianzaje kutunzia nyaraka nyeti kwa wezi

mtu aweze kuiba mabilion ashindwe kuiba vikaratasi it might be a jock
 
Yericko kaona ripoti kama mimi, ripoti iliyo mtaani kwasasa ni tofauti na mazwazwa wengi walivyokuwa wakitokwa povu, ripoti nyeupe. hakuna aliyewajibishwa wala mtuhumiwa kwenye ripoti. Na hii kitu tumekuwa tukifafanua muda wote ila kwa ushabiki mkaamua kulibebea bango swala ambalo kimsingi hamkuwa na taarifa sahihi nalo. Mtoa hoja kachungulia ripoti rasmi na kaona inamuumbua, kaamua kuwasingizia CCM kuwa wamenyofoa karatasi, hili haliingii akilini kwa mtu mzima yeyeto. Hizi ni zama za kidigitari, Yericko hakuwa na fikra timamu wakati akiandika huu udaku, kwa kifupi alikuwa amepanic akakosa ujuzi wa kuipinda habari yake.
attachment.php
Mungu akijaaliya usiku huu ripoti itavuja humu mjionee na nyinyi wanajamvi, na kitakachofuata ni kelele za uchakachuaji wa ripoti hilo nalo nilitabiri.
We kweli Ni kenge Si mmeiba zile kurasa zenye majina ya majambazi lakini haitasaidia kitu hii ngoja Ni nzito mpaka kieleweke Na imeshabainika kuwa yule profess waziri WA madini ndio kaundaa huu mpango.
 
Ripoti ya CAG inayotarajiwa kusomwa Bungeni wiki ijayo yasambazwa mitaani Dodoma kinyume cha sheria, Ukawa wacharuka, watu kadhaa wakamatwa.

-Mwananchi-
 
Wananchi chukueni hatua za dharura!!!
Ni hatua zipi unazotaka watu wachukue? Zaidi ya kusubiria hiyo j3. Pia hujawauliza mwenye ushahidi kama hawana copy, haiwezekan kupeleka vielelezo vyote na bila kubaki na copy!! Haijawahi kutokea na wala haitakaa itokee, maana walioanda ripoti ni jopo la watu, na kila mmoja ana copy yake ameficha sehem tofauti tofauti. Jambo zito kama hili huwezi lifanyia mzaha.

Labda uniambie huo mpango wameshiriki hadi walioandaa.
 
Mbatia , Mnyika na ..Wametoa tamko kuwa kurasa za mwisho zenye majina ya wahusika zimeondolewa.
Wana jua report imefanywavitoke kimakududi ili hatimaye itangazwe kuwa hsifai kwa mjadala.

Wame report polisi.

Msabazi Mmoja Ana uhusiano wa Katibu ns Waziri wa Umeme ..
 
natamani iwe kweli tutume kwenye vyombo vya habari vya kimataifa...yaani Tanzania will officially become a BANANA REPUBLIC
 
Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,

Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,

Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.

Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.

Wananchi chukueni hatua za dharura!!!
We Yeri, acha uchonganishi!, ripoti iko safi na ndio hiyo hiyo iliyowasilishwa bila hizo kurasa!, usitake kusingizia eti pages zimenyofolewa, as if ilikabidhiwa a complete report kisha ikaibwa, ikanyofolewa hizo pages na kurudishwa!.

ushauri wako huu ni jinai, kuwachonganisha wananchi na serikali yao!. Bahati yetu, Watanzania ni watu wema, ni watu wapole, wana upendo, wanapenda amani na utulivu, hivyo hakuna hatua zozote ambazo wananchi tunaweza kuchukua!.

Tangu mwanzo nimewaambia humu, kuhusu hili, sijui kama kuna waliosikia!.
hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna Yoyote wa Kuwajibika!.

Pasco

Original itakuwa ipo CAG. Sasa kama hizo pesa hazikuibiwa na ccm, ziliibiwa na mizuka? Kicks of a dieing horse!!
Kama imeibwa kweli basi hii ni zaidi ya watergate.

lakini CAG lazima atakuwa na working papers, labda nazo ziwe zimeibwa. Lakini pia Zitto ana report paomoja na muhtasari wake hivyo sioni uwezekano wa report kukosekana
 
Ushauri wangu! Zito na wengine waweke backup ya soft copy, maana kwa style hii tutaambiwa hard drive/ flash disk zimeingia virus, data zimeliwa. Nasubiri mwisho wa cinema hii! sijui utakuwaje!!!
 
Yericko kaona ripoti kama mimi, ripoti iliyo mtaani kwasasa ni tofauti na mazwazwa wengi walivyokuwa wakitokwa povu, ripoti nyeupe. hakuna aliyewajibishwa wala mtuhumiwa kwenye ripoti. Na hii kitu tumekuwa tukifafanua muda wote ila kwa ushabiki mkaamua kulibebea bango swala ambalo kimsingi hamkuwa na taarifa sahihi nalo. Mtoa hoja kachungulia ripoti rasmi na kaona inamuumbua, kaamua kuwasingizia CCM kuwa wamenyofoa karatasi, hili haliingii akilini kwa mtu mzima yeyeto. Hizi ni zama za kidigitari, Yericko hakuwa na fikra timamu wakati akiandika huu udaku, kwa kifupi alikuwa amepanic akakosa ujuzi wa kuipinda habari yake.

attachment.php

Mungu akijaaliya usiku huu ripoti itavuja humu mjionee na nyinyi wanajamvi, na kitakachofuata ni kelele za uchakachuaji wa ripoti hilo nalo nilitabiri.

We kweli Ni kenge Si mmeiba zile kurasa zenye majina ya majambazi lakini haitasaidia kitu hii ngoja Ni nzito mpaka kieleweke Na imeshabainika kuwa yule profess waziri WA madini ndio kaundaa huu mpango.
 
Wakuu hali ya taharuki imeibuka baada ya ccm kuiba kwakunyofoa kurasa zenye ushahidi wote wa wizi na majina ya wezi wote,

Kurasa za 56,57,59... Zote zimenyofolewa, kibaya zaidi wezi hawa wameiba kuanzia iliyopo Bunge kwa Kashilila, Kwa ofisi ya PAC, na ile ya CAG huko Dar,

Hali sasa inayoendelea nikuwa ripoti iliyobaki isiyo na ushahidi wala makali wezi hawa wamewagawia wabunge wa CcM na wananchi mtaani ili nakuwaambia wajionee wenyewe ripoti haina mtu wakuwajibika.

Hii ndio ccm na makandokando yake chini ya TISS.

Wananchi chukueni hatua za dharura!!!

Kama wameiba 300B, why not a report with few papers! Ila ndo wanazidi kuharibu, jamani, ukivuliwa nguo chutama, ukiaza kumkimbiza alikuvua nguo utaonekana kituko, this is what happening ndani ya ccm na wezi wake! Wanatia aibu, watapelekea hata wale wanavijiji ambao walikuwa hawajui hili sakata walijue
 
Ripoti ya CAG inayotarajiwa kusomwa Bungeni wiki ijayo yasambazwa mitaani Dodoma kinyume cha sheria, Ukawa wacharuka, watu kadhaa wakamatwa.

-Mwananchi-
Mkuu Informer kama ipo si mtuwekee na sisi tuipate hapa jamvini. JF siku zote imekuwa ndiyo inapata nyaraka kabla ya watu wengine, sasa hii inakuwaje inasambazwa huko Dodoma lakini JF hatujapata nakala, tumechoka siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
We Yeri, acha uchonganishi!, ripoti iko safi na ndio hiyo hiyo iliyowasilishwa bila hizo kurasa!, usitake kusingizia eti pages zimenyofolewa, as if ilikabidhiwa a complete report kisha ikaibwa, ikanyofolewa hizo pages na kurudishwa!.

ushauri wako huu ni jinai, kuwachonganisha wananchi na serikali yao!. Bahati yetu, Watanzania ni watu wema, ni watu wapole, wana upendo, wanapenda amani na utulivu, hivyo hakuna hatua zozote ambazo wananchi tunaweza kuchukua!.

Tangu mwanzo nimewaambia humu, kuhusu hili, sijui kama kuna waliosikia!.
hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia Hakuna Yoyote wa Kuwajibika!.

Pasco

Mkuu , Pasco, kwahiyo ITV imedanganya umma katika taarifa yake ya saa mbili?
 
Mkuu Informer kama ipo si mtuwekee na sisi tuipate hapa jamvini. JF siku zote imekuwa ndiyo inapata nyaraka kabla ya watu wengine, sasa hii inakuwaje inasambazwa huko Dodoma lakini JF hatujapata nakala, tumechoka siku hizi?
Mkuu,

Wenye nakala ni wachache. Lakini, kwanini waisambaze haraka kabla haijasomwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom