Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?
Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...
Hivi tatizo Lako Hua ni nini? Tutakuamini vipi kama una sema kweli au uongo?
Juzi ulikuja na uongo wa kuwa eti Muhongo atajiudhuru baada ya masaa 12, sasa yanapita 48, leo unakuja na uongo mpya, hivi hiyo ripoti iliandikwa kwa mkono, karne hii?
Benki ya Mkombozi unamjuwa mwenyewe?
mods ondoeni huu uzi ni uongo mtupu the issue is so sensitive kisha nyaraka iibiwe kirahisi ht ukitumia makalio yk kufkir haiingii akilin
cc MODERATORS
Juzi ulikuja na uongo wa kuwa eti Muhongo atajiudhuru baada ya masaa 12, sasa yanapita 48, leo unakuja na uongo mpya, hivi hiyo ripoti iliandikwa kwa mkono, karne hii?
Benki ya Mkombozi unamjuwa mwenyewe?
Kumbe hujamwelewa,ana maana upo uwezekano ripoti isiwe na makali kama mnavyotarajia na anawaandaa aje kusema karatasi zilinyofolewa kitu ambacho hakiwezekani.Soft copies zipo
na itv wamezusha pia? au akili yako iko makalion.i!!!!!!!!!!!!!!
taarifa ya habari ITV saa 2 kamili imeripoti habari hii!Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?