Mkuu, sidhani kama kuna kutoana roho watu hapaDuuu hao akina werema wapo tayari hata kutoa roho ili ngoma isichezwe
shika adabu yako!mwanaharamu we?Hili suala la escrow litawatokea puani Bunge kama wakiendeleza na ukaidi.
Duh! Mtafute umeme mbadala. Hata kajenereta kadogo ununue ili kakusaidie wakati wa dharura na hot issue kama hii ya escrow
Ndo mana wamerudisha umeme kumbe jioni.
Hapo ni wazi bado hawajafanya maamuzi kwahiyo hata hiyo jioni haina uhakika.
Nakubaliana na wewe mkuu. Ukweli ni kwamba Mahakama imesitisha mjadala wa escrow. Hili lipo wazi sana. Nashangaa wengine wanashindwa kulielewa hili. Hata hiyo jioni bado tia maji tia maji. Cha muhimu wale walioshitakiwa waende na hoja za uhakika ili mjadala uendelee bungeni. Wasiwasi wangu ni kwamba hakutakuwa tena na muda wa kusikiliza ripoti ya akina zitto maana soon bunge litasitishwaHapo ni wazi bado hawajafanya maamuzi kwahiyo hata hiyo jioni haina uhakika.
Ndo mana wamerudisha umeme kumbe jioni.
Mkuu, ushauri wangu ni wa muhimu sana. Wewe endelea kuleta propaganda za kisiasaccm imeoza.
ndugu saf sana kuwakumbusha hawa mafisad kwa ngoma ya duane..lakin pia wasisahau...u can fool some people for some time but u cant fool all the people all the time.....You judge a man, by the length of his hair
You think we are foolish but we aren't
You took our hopes, and replace them with faith yeah
With empty promises that makes you care
http://www.lyricsmania.com/heaven_will_rise_up_lyrics_duane_stephenson.html
Nakubaliana na wewe mkuu. Ukweli ni kwamba Mahakama imesitisha mjadala wa escrow. Hili lipo wazi sana. Nashangaa wengine wanashindwa kulielewa hili. Hata hiyo jioni bado tia maji tia maji. Cha muhimu wale walioshitakiwa waende na hoja za uhakika ili mjadala uendelee bungeni. Wasiwasi wangu ni kwamba hakutakuwa tena na muda wa kusikiliza ripoti ya akina zitto maana soon bunge litasitishwa
Court injunction iko wapi?Kitaelewekaje wakati kuna Court Injuction?
Mkuu, ushauri wangu ni wa muhimu sana. Wewe endelea kuleta propaganda za kisiasa