MkamaP,
Mkuu hata siku moja usifikirie kwamba Biashara ya silaha ni haramu. Ni sawa kabisa na biashara nyingine yoyote iwe hata madini..hakuna Uharamu kuuza vifaa vya kivita isipokuwa zipo sheria zinazohalalisha biashara hiyo kufanyika na kwa nchi gani..
Mkuu kaitazame tena ile sinema ya Darwins Nightmare.. Yule mrusi alieleza vizuri jinsi walivyokuwa wakipeleka silaha South Afrika kwa ajili ya vita ya Angola. Na kwa uchungu mkubwa akasema inasikitisha sana kuona wakipeleka Tanks Angola siku za Christmas na tunarudi zabibu kwa Ulaya.
Hivyo ni rahisi kabisa silaha kununuliwa kwa ajili ya Tanzania nadio maana unaona destination yake ni Mwanza, Tanzania. Na kama sikosei muda sii mrefu China walipeleka meli ya silaha kupitia South Africa zikielekea Zimbabwe zikazuiliwa kuingia.
Mkuu nchi yoyote yenye vita kuna biashara kubwa sana ya silaha na ndio biashara yenyewe inavyopata soko..Huwezi kupinga kabisa kwamba Tanzania hatuhusiki wakati dhahiri tumeshiriki ktk vita hiyo kwa muda mrefu sana toka enzi za Uganda na Rwanda na kwa taarifa zaidi ni kwamba maofisa wengi ktk jeshi la Rwanda na Burundi wamejaa maofisa wetu kama wataalam na walimu ktk mafunzo ya kivita.
Pengine swala la muhimu kujiuliza zaidi ni kwamba tunafaidika vipi Kitaifa na vita ya nchi hizo ikiwa sisi ndio kambi kubwa ya wakimbizi toka sehemu hizo. Je, tupo pale kulinda mtawala na kuweka usalama kama Marekani wanavyodai Afghanstan na Iraq au ndio tunajipendekeza kama ilivyokuwa Zimbabwe na South, matokeo yake wote hatupendwi tena wanataka sana tuondoke nchi zao baada ya...