Zijue Nchi 10 zenye Barabara Bora Afrika. Afrika Mashariki hakuna nchi hata moja!

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,125
49,844
Takwimu za ubora wa Barabara Kwa Nchi za Afrika zimetolewa.

Kwenye top 10 ya best, Afrika Mashariki hakuna Nchi hata moja huku Kanda ya Afrika Kusini kuna Nchi 4, Kanda ya Afrika Kaskazini Nchi 5 na Afrika Magharibi Nchi 1.

My Take
Naamini by 2025 Tanzania tutaingia top 10 japo kwa sasa tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kasoro Burundi tu.

====
Screenshot 2023-11-17 133804.png

10 African countries with the best road infrastructure

1. South Africa
2. Namibia
3. Morocco
4. Botswana
5. Libya
6. Algeria
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Côte d’Ivoire
10. Tunisia

Business Insider Africa
Pia soma
 
Takwimu za ubora wa Barabara Kwa Nchi za Afrika zimetolewa.

Kwenye top 10 ya best, Afrika Mashariki hakuna Nchi hata moja huku Kanda ya Afrika Kusini kuna Nchi 4, Kanda ya Afrika Kaskazini Nchi 5 na Afrika Magharibi Nchi 1.

My Take
Naamini by 2025 Tanzania tutaingia top 10 japo kwa sasa tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kasoro Burundi tu.

====
View attachment 2816453

South Africa ni kweli ina miundombinu bora zaidi ya barabara barani Africa.Kuwa namba 1 wala hata hawajakosea, wameitendea haki.Ubora wa Barbara South Africa umezipita nchi nyingi tu hapa duniani, ikiwemo na baadhi ya nchi za barani Ulaya.
 
Takwimu za ubora wa Barabara Kwa Nchi za Afrika zimetolewa.

Kwenye top 10 ya best, Afrika Mashariki hakuna Nchi hata moja huku Kanda ya Afrika Kusini kuna Nchi 4, Kanda ya Afrika Kaskazini Nchi 5 na Afrika Magharibi Nchi 1.

My Take
Naamini by 2025 Tanzania tutaingia top 10 japo kwa sasa tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kasoro Burundi tu.

====
View attachment 2816453

10 African countries with the best road infrastructure

1. South Africa
2. Namibia
3. Morocco
4. Botswana
5. Libya
6. Algeria
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Côte d’Ivoire
10. Tunisia

Business Insider Africa
Egypt inazidi kudidimia. Miaka ya nyuma ndio ilikuwa nchi tajiri zaifi Africa.
Nilichoshangaa big economy Nigeria haimo kwenye list.
 
Takwimu za ubora wa Barabara Kwa Nchi za Afrika zimetolewa.

Kwenye top 10 ya best, Afrika Mashariki hakuna Nchi hata moja huku Kanda ya Afrika Kusini kuna Nchi 4, Kanda ya Afrika Kaskazini Nchi 5 na Afrika Magharibi Nchi 1.

My Take
Naamini by 2025 Tanzania tutaingia top 10 japo kwa sasa tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kasoro Burundi tu.

====
View attachment 2816453

10 African countries with the best road infrastructure

1. South Africa
2. Namibia
3. Morocco
4. Botswana
5. Libya
6. Algeria
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Côte d’Ivoire
10. Tunisia

Business Insider Africa
Hapo kwenye zimbabwe na cote d, avoir ni uongo namibia ndio the best SA ya pili halaf kuna misri
 
Back
Top Bottom