Ripoti ya Chande nahisi haitatoka!

Ripoti ya Chande nahisi haitatoka!

Wameleta utangulizi kwa jina la wizi wa mazaga ya wanaume kisha ripoti ya mchongo itaanza ķusomwa na kabla msomaji hajamaliza itachomekwa wizi wa mazaga ya wanawake ili wadanganyika wazidi kuvurugwa.
 
Tunaomba utuwekee link (kama ipo) ya hilo andiko au utuambie limesema nini.
  1. Mambo yalianza Jumanne March 31, gazeti la serikali za Habari Leo, online, kuripoti ripoti itakabidhiwa Ijumaa tarehe 3 Aprili.
  2. Jumatano Tarehe mosi Aprili, mwandishi wa habari Manyerere Jacton akawabalaza kupanga kutoa ripoti hiyo siku muhimu kwa Wakristu, siku ya Ijumaa Kuu Ripoti ya Jaji Chande: Mwanzo wa mwanga wa siasa mpya au mwendelezo wa giza la sintofahamu?
  3. Jambo TV wakaisoma hiyo makala on Jambo TV.
  4. Serikali ikaahirisha kupokea ripoti Ijumaa Kuu, Habari Leo wakaifuta ile posti yao.
  5. Alhamisi Jambo TV wakafungiwa kwa kuripoti makala hiyo.
P
 
Wameshaona upepo unavuma sana kuelekea kwao.
 
waandaaji walipanga kitu gani hapo, maana ilikua inaonekana ni wazi ripoti itatoka baada ya mifungo na sikukuu zote kuisha, au ni kutoa ripoti na watu waingie sikukuu
 
hata mpumbavu huonekana mwerevu kama akiamua kukaa kimya akinyamaza.( kulinda brand yake)

kunyamaza kwa tume kukaa kimya kwa tume kutokutoa majibu ni bora kuliko kutoa majibu tofauti na ukweli na ushahidi wa wazi unaojulikana na kila mtu hata kichaa.
 
  1. Mambo yalianza Jumanne March 31, gazeti la serikali za Habari Leo, online, kuripoti ripoti itakabidhiwa Ijumaa tarehe 3 Aprili.
  2. Jumatano Tarehe mosi Aprili, mwandishi wa habari Manyerere Jacton akawabalaza kupanga kutoa ripoti hiyo siku muhimu kwa Wakristu, siku ya Ijumaa Kuu Ripoti ya Jaji Chande: Mwanzo wa mwanga wa siasa mpya au mwendelezo wa giza la sintofahamu?
  3. Jambo TV wakaisoma hiyo makala on Jambo TV.
  4. Serikali ikaahirisha kupokea ripoti Ijumaa Kuu, Habari Leo wakaifuta ile posti yao.
  5. Alhamisi Jambo TV wakafungiwa kwa kuripoti makala hiyo.
P
Sitegemei ripoti ya kweli toka kwenye hilo genge. Kama Samia ametangazwa kwa kura 31m za uongo na bado anakaza fuvu, unategemea tume aliyounda mwenyewe iwe na jipya?

Hizi tume zinazofunikwa na nguvu ya rais ni ngumu kufanya kazi yake kwa usahihi. Nakumbuka Tume ya kukusanya maoni ya katiba mpya ya Warioba, walifokewa eti kwanini waliingiza mambo ya muungano. Itakuwa hii ya mauaja yaliagizwa na Samia?
 
Kila mtu mwenye akili timamu anajua kilichomo ndani ya ripoti.Ni rahisi mno kutabir8 mambo ya wanaccm
 
Hiyo Sasa itakuwa ni aibu ya Karne jambo zito kama lile utangaze kuunda tume mubashara kwa umma alafu matokeo ya uchunguzi uyapokelee chumbani?. Hii ni maajabu.

Hawa Wahuni huwa hawaoni aibu. Wao wanachojali ni maslahi yao tu.

KIKWETE na Rostam pia walikuwepo jwenye ile list ya Mafisafi ya Mwembeyanga. Lakini baadaye zigo lote wakamuangushia Lowasa.
 
Back
Top Bottom