Report iko tayari inafanyiwa reduction
Ripoti itatoka ni kusubiria tuu, sikukuuMsipoteze muda kusubiri ripoti ya mchongo ya tume ya Chade haitatoka maana wameshidwa kudanganya wakati ukweli upo wazi!
Sikukuu na ripoti vinahusiana nini?Ripoti itatoka ni kusubiria tuu, sikukuu
P
Tundu Lissu na CHADEMA watakosekana kwenye ripoti kama hiyo?Ripoti inatoka Gwajima na Kitima wanaweza kutajwa kwenye ripoti
Ilikuwa ikabidhiwe, Ijumaa Kuu, andiko la manyerere Jacton likatibua mambo, hivyo waka pose!, leo itatolewa taarifa, ripoti itasomwa Jumatano tarehe 8 April, 2026, endelea kusubiria!.Sikukuu na ripoti vinahusiana nini?
Wanataka isubiriwe na kuongelewa ili kuipa uhalali.Msipoteze muda kusubiri ripoti ya mchongo ya tume ya Chade haitatoka maana wameshidwa kudanganya wakati ukweli upo wazi!
Imeshapitisha muda wa kisheria haina maana tena!Msipoteze muda kusubiri ripoti ya mchongo ya tume ya Chade haitatoka maana wameshidwa kudanganya wakati ukweli upo wazi!