Byakatonda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 402
- 742
Kazi na utuHawa Wahuni huwa hawaoni aibu. Wao wanachojali ni maslahi yao tu.
KIKWETE na Rostam pia walikuwepo jwenye ile list ya Mafisafi ya Mwembeyanga. Lakini baadaye zigo lote wakamuangushia Lowasa.