kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,005
- 6,666
Utetezi wa kipumbavu...kwanini hamkumshtaki huyo aliyetumia fedha za walipakodi kiufisadi? Mnapaswa kuomba radhi na kumtaka aliyekwapua fedha hizo arudishe sio kujitetea kijinga!!RIPOTI YA CAG:
Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.
Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.
Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Ninyi ndiyo mnataka na kugombea urais kwa ujinga huu wa majibu yakitoto,hivi zaidi ya Li-pumba kunawengine walioenda shule hko walau? Au ndiyo zile elimu za madrasa zaidi? Ukivuliwa nguo chutama sio unaruka hovyo mapust yanarukaruka hovyo...