Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Acha kufikiri sisi ni wajinga kama wewe, matumizi ya pesa akina maalim Seif na Mtatiro walijitahidi sana kuzuia ila CCM, MSAJILI WA VYAMA (special agent wa ccm), nk waliruhusu pesa itoke na siku anachota mapesa pale NMB Ilala nilikuwepo pale
Acha kufikiri sisi wajinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufikiri sisi wajinga.
RIPOTI YA CAG:
Ripoti ya CAG inahusisha Ukaguzi kwa miaka ya Fedha 2016/17; 2017/18 na 2018/19. Kipindi hiki ni kuanzia 01/07/ 2016 hadi 30/06/2019.
Ikumbukwe kwamba mwaka wa kwanza wa Kipindi hiki Cha miaka mitatu Chama kilikuwa mikononi mwa akina Julius Mtatiro, Mhe. Twaha Taslima, Ismail Jusa Ladu na Maalim Seif Sharif Hamad.
Hivyo Mapungufu yaliyojitokeza yanatokana na Ombwe la Uongozi na fedha zilizohamishwa ni sehemu za fedha zilizotumika kununulia magari kupitia kwa Joran Bashange enzi za Maalim Seif Sharif.
Sent using Jamii Forums mobile app